Jeff Bezos (Amazon) atengeneza Dola bilioni 13 ndani dakika 15!!

Jeff Bezos (Amazon) atengeneza Dola bilioni 13 ndani dakika 15!!

Sijasema auze, nimesema ukutaka kujua hajaingiza kiasi hicho cha pesa, na kujua thamani halisi ya hizo hisa, basi auze zote apate cash akaweke benki, hata wewe ukutaka kujua thamani ya gari lako,nlipeleke sokoni, hata wakikwambia lina thamani ya milioni 100,peleka sokoni uone lina fetch kiasi gani, na hiyo ndio thamani yake.
Nimekuelewa brother
 
Uhujumu uchumi!
Ulianza lini biashara kodi yako mwaka uliyopita ulilipa kiasi gani nani ana kudai !
Cheti cha kuzaliwa unacho!?
Cha Baba na Babu yako!?
Umeunga juhudi kwa kiasi gani!
Unatokea mkoa gani!?
Tunahitaji hesabu zako za TRA za kuanzia mwaka 2001 adi tarehe ya leo!?
Na Gari unayo tembelea kwanini ulilipia ushuru kidogo wakati bei yake inatambulika ata kama ni used ulinunuwa!?
Bank una kiasi gani!
Pesa zako bank umezilipia kodi!?
Je mshahara wako umelipa kodi!?
JARIBU UONE NDIO UTAJUWA KWA NINI KUKU HAKOJOWI!
Hahahah...., daah...!!!!
 
Back
Top Bottom