Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

Unazungumzia utajiri au kipato?

Serikali ya Tanzania kwa mwaka inakusanya na kutumia Trilioni zaidi ya 40.

Nchi ya Tanzania ina ardhi, mito, maziwa, mbuga za wanyama, milima, anga n.k. Huyo tajiri utajiri wake anaweza kununua mlima kilimanjaro na mbuga ya serengeti au ardhi yote ya mkoa wa dar?

Unasemaje kuna mtu tajiri zaidi ya nchi

Hakuna tajiri duniani mwenye utajiri zaidi ya nchi....hata kisiwa cha pemba tu hakuna tajiri anayekizid kwa utajiri.
 
Unazungumzia utajiri au kipato?

Serikali ya Tanzania kwa mwaka inakusanya na kutumia Trilioni zaidi ya 40.

Nchi ya Tanzania ina ardhi, mito, maziwa, mbuga za wanyama n.k

Unasemaje kuna mtu tajiri zaidi ya nchi

Hakuna tajiri duniani mwenye utajiri zaidi ya nchi....hata kisiwa cha pemba tu hakuna tajiri anayekizid kwa utajiri.

Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.
 
Wakuu, msiwe mahangaika na hawa graduates jobless!

muulizeni mleta mada ana utajiri kiasi gani?..
ooh sorry..

muulizeni mleta mada, yeye anamiliki kitu gani ambacho anaweza akakiuza ili kujikimu endapo akipata shida ya ghafla inayohitaji laki 5!?
 
Na wewe una utajiri wa kiasi gani? Idiot!
 
Itoshe tu kusema mtoa maada ni mjinga kama wajinga wengine.

Huo utajiri wa jeff bezos ameutengeneza maisha yake yote, Tanzania hiyo GDP ni ya mwaka mmoja tu.
Makubwa wewe hujui kutofautisha GDP na nationa annual Budget......jama mnampiga ila umeshindwa kupagua hoja zake kabisa....
 
Perception ni kitu cha ajabu sana...., mtu unaweza kuamini tunaishi kwenye matrix kwa kuvipa vitu value ambayo sio halisi....

Utajiri ni nini ? Je kuna utajiri kuliko watu (nguvu kazi); kuna utajiri kuliko ardhi (real estate) ?, kuna utajiri kuliko source of food (mashamba, wanyama, mito, maziwa bahari n.k.) ?

Nakuacha na qoute ya Voltaire, "Paper Money eventually return to its intrinsic Value" - Zero.....
 
Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.

Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Wewe shuleni ulisoma vitini badala ya vitabu !! Madini yote, gesi,makaa ya mawe,bahati na maziwa,wanyama pori, misitu na vingine jamaa anatuzidi !! Acha ujinga.
 
Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.

Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Kama hujui uombe watu wakuelimishe,kulikokuandika upuuzi kama ulioandika,hayo ni maongezi ya kwenye vijiwe vyenu vya kahawa,itajiri wa mtu au nchi au kampuni fulani haupimwi kwa fedha taslimu tu,Kuna kitu kinaitwa asset ogopa sana kitu hicho,Nchi ya Tanzania ina madini chini ya ardhi ambayo hakuna binadamu wala shirika lolote hapa duniani linaweza au anaweza kuwa na itajiri kama huo.
 
Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.

Jeff Bezzo ana mali isiyohamishika yenye thamani kubwa kuliko majengo ya Jamhuri Street kuanzia Central Police mpaka Pugu Road?
 
Back
Top Bottom