KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Inawezekana mtoa mada anataka kuelimika kwa njia isiyo ya kawaida......wajuzi wa haya mambo waje na maelezo ya kutosha kumtoa gizani....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hujui mlima kilimanjaro, unaliingizia Taifa pesa.Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.
Huo utajiri wake upo bank au?Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.
Ngoja nikuambie. Utajiri wa nchi unamilikiwa na watu wake. Watanzania tupo milioni 60 ndiyo tunamiliki utajiri huo. Unafikiri utajiri wa mtu mmoja mmoja ukikusanywa, utajiri wa hao watu 60 m unafikiri utafika utajiri wa Bezos?Wewe shuleni ulisoma vitini badala ya vitabu !! Madini yote, gesi,makaa ya mawe,bahati na maziwa,wanyama pori, misitu na vingine jamaa anatuzidi !! Acha ujinga.
Pesa ya chai kwa Bezo.Ni kweli hujui mlima kilimanjaro, unaliingizia Taifa pesa.
Na wewe una utajiri wa kiasi gani? Idiot!
Utajiri wa watanzania wote, wanaomiliki nchi ya Tanzania, ukiujumlisha haufiki utajiri waKumbe ndo mmemaliza la saba kwenye shule zenu za kulipia afu mnakuja na ujinga wa kuanzisha anzisha thread hapa!! Nenda kadai fees zako.
Mzee Maganga anatumia hizo mali zake kuishi. Lakini sisi hatutumii hayo madini, maji, na rasilimali zingine tulizo nazo. Wala hatuzifanyi kuwa kitu chamaana. Jeff katuzidi utajiri.Chukua mfano huu:
Wewe ni kibarua unapata shilingi 7000 kwa siku unanunua mahitaji ya familia, unakunywa chai asubuhi na milo ya mchana na jioni unaweza kumudu.
na unaishi kwenye nyumba ya kupanga. Hauna kiwanja wala baiskeli.
Mzee Maganga yupo kijijini ana shamba la ekari 100 hivi, ana mifugo mingi na familia ya watu 20 hivi. Anawalisha watu wote hao kutokana na mavuno ya shambani kwake. Na hana pesa mkononi.
Je kati yako na Mzee Maganga nani tajiri?
JIBU ni kuwa Mzee maganga ni tajiri mara zaidi yako japo hana hata miatano mfukoni ila ana assets ambazo wewe huna.
Usipime utajiri kwa kuangalia pesa (cash) na liabilities mfano magari.
Nchi ina rasilimali mhimu kama ardhi (km za mraba 947, 303 kwa Tanzania), watu (60+ million), maji ( maziwa, mito na bahari ), madini, misitu, wanyama (mbuga zote) n.k ambazo mtu binafsi hawezi kuzimiliki abadani!
Ulichochanganya wewe ni kungalia takwimu za pato la taifa ( GDP) ambalo halijumuishi assets!
Mwambie aje kununua nchi kama ana pesa.Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Akitumia pesa yake yote. Kila raia atapewa kama 7 m hivi za kitanzania. Kuanzia mtoto mchanga hadi mzee kabisa. Wafungwa na wagonjwa qa akili, wote.Mwambie aje kununua nchi kama ana pesa.
Akili yako fupi hv umeishia darasa la ngapi!!??Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Sasa hiyo mil.7 ndio inaweza nunua nchi? Acha ujingaAkitumia pesa yake yote. Kila raia atapewa kama 7 m hivi za kitanzania. Kuanzia mtoto mchanga hadi mzee kabisa. Wafungwa na wagonjwa qa akili, wote.
Urusi waliuza Alaska ambayo ni kubwa kuliko Tz kwa pesa mbuzi tu. Ambayo hata kwa pesa ya leo haifiki utajiri wa Bezos. Jamaa anaweza kutununua.Sasa hiyo mil.7 ndio inaweza nunua nchi? Acha ujinga
Ni tajiri wa pesa kwa raslimali tunamzidiUtajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Dah Saguda47 mtu wangu yani ghafla tu umeamua kutushushia nondo za hatarii na za kutosha istoshe umetema na madini makali sana yaliyojitosheleza.Chukua mfano huu: