Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Unazungumzia utajiri au kipato?
Serikali ya Tanzania kwa mwaka inakusanya na kutumia Trilioni zaidi ya 40.
Nchi ya Tanzania ina ardhi, mito, maziwa, mbuga za wanyama n.k
Unasemaje kuna mtu tajiri zaidi ya nchi
Hakuna tajiri duniani mwenye utajiri zaidi ya nchi....hata kisiwa cha pemba tu hakuna tajiri anayekizid kwa utajiri.
Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Utajiri wa Jeff is based on the values of his Shares and this can change anytime at the stock marketsUtajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni taijiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Na wewe una utajiri wa kiasi gani? Idiot!Wakuu, msiwe mahangaika na hawa graduates jobless!
muulizeni mleta mada ana utajiri kiasi gani?..
ooh sorry..
muulizeni mleta mada, yeye anamiliki kitu gani ambacho anaweza akakiuza ili kujikimu endapo akipata shida ya ghafla inayohitaji laki 5!?
Makubwa wewe hujui kutofautisha GDP na nationa annual Budget......jama mnampiga ila umeshindwa kupagua hoja zake kabisa....Itoshe tu kusema mtoa maada ni mjinga kama wajinga wengine.
Huo utajiri wa jeff bezos ameutengeneza maisha yake yote, Tanzania hiyo GDP ni ya mwaka mmoja tu.
Hebu tofautisha weweMakubwa wewe hujui kutofautisha GDP na nationa annual Budget......jama mnampiga ila umeshindwa kupagua hoja zake kabisa....
Wewe shuleni ulisoma vitini badala ya vitabu !! Madini yote, gesi,makaa ya mawe,bahati na maziwa,wanyama pori, misitu na vingine jamaa anatuzidi !! Acha ujinga.Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Kama hujui uombe watu wakuelimishe,kulikokuandika upuuzi kama ulioandika,hayo ni maongezi ya kwenye vijiwe vyenu vya kahawa,itajiri wa mtu au nchi au kampuni fulani haupimwi kwa fedha taslimu tu,Kuna kitu kinaitwa asset ogopa sana kitu hicho,Nchi ya Tanzania ina madini chini ya ardhi ambayo hakuna binadamu wala shirika lolote hapa duniani linaweza au anaweza kuwa na itajiri kama huo.Utajiri wa Jeff Bezos ni $200.3bln
Tanzania GDP(PPP) ni $200.14bln
GDP gross ni $65bln.
Mtu huyu ni tajiri kuliko nchi yetu!! Tunakwama wapi?
Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.