Jeff Bezos ni tajiri kuliko nchi ya Tanzania!!

Jeff bezos hela cash anayo ni dollars billion 9 iyo ni cash. Zingine ni shares, stocks na assets.

Pia Dr Dre utajiri wake unadiriwa kuwa dollars billion moja. Lakini cash money anayo ni dollars million 200.

Sasa hivi vitajiri vyetu uchwara kina vunja bei usikute yanacheza tu na cash money dollars laki mbili yakijitahidi sana dollars laki tano na hapo karoga na makafara kibao.
 
Wakuu, msiwe mahangaika na hawa graduates jobless!

muulizeni mleta mada ana utajiri kiasi gani?..
ooh sorry..

muulizeni mleta mada, yeye anamiliki kitu gani ambacho anaweza akakiuza ili kujikimu endapo akipata shida ya ghafla inayohitaji laki 5!?
Graduates wote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano waTanzania🗣.
 
Kitu kama hujakiongezea Thamani kinakuwa hakina maana. Jamaa ni tajiri kuliko nchi yetu. Anaweza kuhudumia nchi yetu kwa bajeti ya sasa kwazaidi ya miaka kumi. Tena kwa cash.

Anasema anaweza nunua mlima? Kwani mlima bei gani tuone kama hawezi
 
Ni tajiri wa pesa kwa raslimali tunamzidi
Rasilimali siyo kitu kama huwezi kuitumia. S. Korea ni tajiri kuliko sisi japo tuna rasilimali nyingi zaidi. Belgium ni tajiri kuliko DRC japo ina rasilimali zero ukilinganisha naDRC. Jeff Bezos ni tajiri kuliko Tz.
 
Sijui kwanini watu wanafikiri unproductive resources kama aridhi minerals watu ni utajiri?

Tz ni nchi masikini yenye untaped resources nyingi........kua na aridhi kubwa milima, maziwa mito haifanye Tz kua nchi Tajiri paka hizo resources ziwe coverted into liquidity or productive ndo GDP yetu ipande.

nchi tajiri duniani hazina hayo yote
Tz ni kubwa mara nne ya France Tz ni kubwa×8 kwa Italy Tz ni kubwa ×10 kwa Sweden, Denmark Egypt Tunisia South Africa. Ila hizo nchi zote zina tuzidi GDP na per capita income pia na maendeleo ya watu. kwahiyo its possible mtu moja kuzudi inchi nzima kama Tz. liquidity and assets=(Gdp) sio kuhesabu milima Maziwa mbuga mifugo nk!!!!!!......
70% living below international poverty line, hari ya watu ni mbaya sana, ila kuna watu bado wanabisha eti tuna milima na misitu trash.....
 
Unaelewa hoja iliyoko mezani? Mleta mada kalinganisha utajiri wa mtu binafsi na nchi ya tanzania,
Hajalinganisha tanzania na nchi nyingine.
 
Unaelewa hoja iliyoko mezani? Mleta mada kalinganisha utajiri wa mtu binafsi na nchi ya tanzania,
Hajalinganisha tanzania na nchi nyingine.
Nimeelewa vizuri sana mkuu.....kama GDP ya Tz ni $54bn na jamaa moja ana assets and cash worthy $105bn nani tajiri zaidi?......

Tz ni nchi masikini na inazidiwa utajiri na watu binafsi wengi na makampuni binafsi ila nyie wazalendo uchwara hamtaki kuamini kwa sababu mlisoma soma la uraia shule ya msingi kwa kusifia tu Tz eti nitajiri sanaa

.....kwa tozo hizi za wizi, ni ishara tosha ya umasikini wa nchi hapo Mulima kilimanjoro au Ziwa Tanganyika linatusaidia je......acheni kukalilishwa

kuzidiwa utajiri na watu sio dhihaka Marikani yenyewe uchimi wake unamilikiwa na 2% ya wamarikani tu, na hiyo 2% wana heshimia na wana wasikilizwa sanaa, hapa mnapambana na matajiri eti mnataka wa ishi kama shatani......
 
Badala ya kujadili kwa hoja umeenda mbali kulalamika mara tulisoma uraia kwa kukaririshwa.

Kulingana na akili zako unakiri kuwa huyo jamaa anauwezo wa kuinunua tanzania kwa thamani ya fedha?

Hoja siyo kuwa na pesa nyingi je ana hela hata ya kununua sehemu ya ziwa viktoria iliyopo Tanzania?

Unajua thamani halisi ya taifa hili na watu wake?

Hata hao wazungu huo utajiri siyo kwamba wanao directly! Hata burundi hawezi kuimiliki!
 
Mkuu naona unachaganya mambo vitu viwili value (thamani) na cost (gharama).....hamna kiasi cha kununua uhai wako duniani, ila hilo halikufanyi kua Tajiri ndo Tz ina watu ziwa milima ila alijifanye kua tajiri........kwani mtu anataka anunue mlima aupeleke wapi ufanye kazi gani.
 
Nasikia hata Lowassa ni tajiri kama Jeff ila hataki tu kutangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…