Jeff Horn amtandika Manny Pacquiao Kwa Knockout ya mapema zaidi

Jeff Horn amtandika Manny Pacquiao Kwa Knockout ya mapema zaidi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Homa ya pambano la wana masumbwi Manny Pacquiao na Jeffrey Horn au Hornet kama anavyojulikana na mashabiki linazidi kupamba moto kila kukicha

Jeff ametamba kumsambaratisha Pack mapema sana kwa K.O ili kuondoa maneno kwamba yeye (Hornet) amependelewa maana pambano lao litafanyika Australia mahala ambapo Hornet alipotokea ,Hornet amekuwa ni mtu wa kulalama mara kwa mara kwamba ameonewa kila inapotokea amepigwa kwa point kama vile alipopigwa na Floyd na alipopigwa na Timothy Bradley

Jeffrey Horn (Hornet) mpaka sasa amepigana mapambano 17 na kati ya hayo mapambano 16 ameshinda na ametoka sare pambano moja

Na kati ya hayo 16 ,11 ameshinda kwa K.O

Hornet ni Orthodox

Na kwa upande wa Manny yeye amepigana mapambano 66 ameshinda 58 amepigwa mapambano 5 na ametoka sare mapambano 2 ,Pack yeye ni South Paw .

Pambano la Manny na Hornet litafanyika tar 2 July 2017 katika ukumbi wa Suncorp Stadium uliyopo Australia


Ingawaje 70% ya mashabiki wa Boxing wana imani kwamba Manny atashinda pambano hilo lakini 30% bado wana imani na Jeff kwamba ataibuka kidedea katika pambano hilo



Screenshot_2017-06-24-19-27-01_1.jpg
Jeff Horn Boxer


Screenshot_2017-06-24-19-28-02_1.jpg

Manny Pacquiao (Ngumi cherehani)

Screenshot_2017-06-24-19-33-33_1.jpg
 
Horn lazima amdondoshe huyu mfilipino katika hili pambano sina wasiwasi naye kabisa
 
Mwalimu wa shule amtandika jamaa vibaya
Yuko vizuri kamtandika pia Ali Funeka vibaya sana hadi huruma
 
Back
Top Bottom