Jeff Lea AKA Cassidy wakimuita hivyo wenzake,Ni kipaji halisi na anajua mambo hasa. Mambo anayajua na nilimtabiria angeenda mbali sema hakuwa serious wakati akiwa kwenye twenties.Kiswahili anakijua na kiingereza pia, mtoto wa Mikocheni.
Muongo wewe,Geofrey Lea kasoma Green Acres na Tumain.
Penati, winga, umiliki wa mpira, madhambi, kiungo inawezekana tu, tatizo ni kuwa watu wengi wanadhani ukichomeka maneno ya kizungu basi wewe level nyingine. wasikilizaji wa Tz lugha yetu kiswahili lazima tujivunie. Mimi huwa najitahidi sana nikiwa naongea na mtu niepuke kutia neno la kizungu lakini unaweza wakati mwingine ikatokea ila hili ni shida sio kwa Lea tu hata huku mitaani mtu akihojiwa basi kama kapata fursa, wapenzi wako waswahili ongea lugha watayo kuelewa.1. Kiingereza ni lugha yetu pia, so si ajabu kuongea kiingereza, ingekuwa anaongea kireno hapo ungekuwa na point kwa sababu hiyo si lugha yetu. Unaona hata mimi nimechanganya kiingereza ili tuelewane?
2. Kuna mazingira ukiongea kiswahili unajitesa mwenyewe. Kwa mfano mkiwa na wapasua mbao hata ambao hawakugusa darasa moja, vipimo vinavyotumika ni english tupu.
Kwenye mpira huwezi kukwepa english, mfano; penalt, winger, ball possession, foul, midfielder na mengine mengi.
Yawezekana ngoja nifuatilie hiloPrimary school ndio kasoma nje.. amesoma kenya na uganda
Mkisoma naye pale Green? Sam Sex yupo wapi?Jina la cassidy lilitokana na kung'ata kimalkia enzi za green acres
Jeff lea enzi zake alikuwa anamwaga ung'eng'e balaa
Mkuu kuwa mchambuzi wa mpira ni mpaka usomee habari? ndo kwanza nasikia kwako...hapana bwana unatudanganya maana hata ulaya wachambuzi si lazima wasomee habari...nakataaShida kaajiriwa kwa connection na siku hizi wanadanganyana eti "kipaji"
elimu imewekwa kando,sifa ya kuajiriwa saivi imegeuka eti "kipaji" kisha
elimu ndio ifate,muulize uandishi habari alisomea wapi na mwaka gani?
na alianza fanya kazi media gani kabla ya kuwa pale alipo,majibu atakayo
kupa ndio utajua siku hizi wenye elimu za fani husika wameachwa nyuma
wanaajiriwa watu kutokana na muonekano wao,ushawishi wao,nk,tusubiri 2040 tuone tutakua wapi.
JamaniKwa kweli mie nakereka mno kumsikia huyu jamaa kwenye vipindi vya michezo radio E FM ya Dar.
Huyu ndo anajifanya mchambuzi wa michezo hasa soka hapa nchini lakini hata neno jepesi tu la Kiswahili yeye atalitamka Kiinglishi. Anajimwambafai kutaka tumuone kazowea Uinglishi sana au vipi sijui, watangazaji wengi wanaifahamu lugha hiyo lakini nadra mno kumsikia akijikokotoa kutafuta neno la Kiinglishi na hata baadhi ya wachambuzi wenzake.
Nausihi uongozi wa hiyo radio kumshauri apunguze kujimwambafai kwa lugha ya wenzetu kwani maneno ya Kiswahili yapo mengi tu kwenye soka.
Aksanteni.
yaan hii natabia yq kishenzi mno, yatakiwa ikemeweIla anajua. Wanaume wa Tanzania wana tabia ya kuonea wivu wanaume wenzao
Sawa, mbona hayo yanaeleweka mkuu. Tatizo naloliona ni pale anapojikakamua hata kwenye maneno ya kawaida tu ya Kiswahili yeye atajiumauma kutamka Kiinglishi. Mpaka kipindi kinakosa mvuto na mfano jana mpaka nikatafuta Wasafi FM.1. Kiingereza ni lugha yetu pia, so si ajabu kuongea kiingereza, ingekuwa anaongea kireno hapo ungekuwa na point kwa sababu hiyo si lugha yetu. Unaona hata mimi nimechanganya kiingereza ili tuelewane?
2. Kuna mazingira ukiongea kiswahili unajitesa mwenyewe. Kwa mfano mkiwa na wapasua mbao hata ambao hawakugusa darasa moja, vipimo vinavyotumika ni english tupu.
Kwenye mpira huwezi kukwepa english, mfano; penalt, winger, ball possession, foul, midfielder na mengine mengi.
Mkuu, kwani dhumuni la kipindi ni nini? Kama ni kuhabarisha wasikilizaji wa hapa nchini basi ni lugha ya Kiswahili ndo ina watu wengi. Kwa taarifa yako radio hii inasikika mikoa mingi kwa watu wasiozungumza Kiinglishi. Pana radio hapa zinazotangaza Kiinglishi, aende huko.1. Kiingereza ni lugha yetu pia, so si ajabu kuongea kiingereza, ingekuwa anaongea kireno hapo ungekuwa na point kwa sababu hiyo si lugha yetu. Unaona hata mimi nimechanganya kiingereza ili tuelewane?
2. Kuna mazingira ukiongea kiswahili unajitesa mwenyewe. Kwa mfano mkiwa na wapasua mbao hata ambao hawakugusa darasa moja, vipimo vinavyotumika ni english tupu.
Kwenye mpira huwezi kukwepa english, mfano; penalt, winger, ball possession, foul, midfielder na mengine mengi.
Hasara kweli mkuu, ndo hao wanaotudanganya EPL inapendwa na watu wengi kumbe ni wao tu kushindwa kuyatamka majina ya timu za nchi nyingine.Wachambuzi wa kileo bila kiingilishi hawaridhiki utasikia huyu Chama Ni playmaker, very powerful ana mark v one by one, anaattack mpira anacreate chances.
Kagere ni most dangerous stricker akiwa within 20m off the goal anaweza kushuti na kuscore goal at unexpected angle of the goal Ni very creative pia miguu na akili yake havisalitiani.
Daah all in all wanachambua mpaka unahisi game za ulaya kumbe Ni VPL