Jeff Lea AKA Cassidy wakimuita hivyo wenzake,Ni kipaji halisi na anajua mambo hasa. Mambo anayajua na nilimtabiria angeenda mbali sema hakuwa serious wakati akiwa kwenye twenties.Kiswahili anakijua na kiingereza pia, mtoto wa Mikocheni.
Jina la cassidy lilitokana na kung'ata kimalkia enzi za green acres
Jeff lea enzi zake alikuwa anamwaga ung'eng'e balaa