Jeff Lea: Simba hamfiki mbali kwa ulinzi ule

Kibongobongo pundit yeyote akiongea kitu unachopenda kukisikia anakuwa nguli hata kama unajua kabisa ni porojo tu.
 
H Hata mechi ya Simba na AS Vita mlisema atachezea 5 ugenini. HIVI HAMJIFUNZI MKABADILIKA NAMNA YENU YA KUFIKIRI. Huwa hamsomi nyakati.
 
Tatizo wachambuzi wetu ni bure kabisa hivi anadhani mipango ya kucheza na dosoma jiji ni sawa na plan ya kucheza na Vita Club?
 
MUDA UTASEMA TU, YAJAYO YANAFURAHISHA.. HAPO ROBO FINAL MWISHO
Baada ya robo fainali,aaah huyo simba nusu fainali mwisho,, baada ya hapo hata akifika fainali kombe hachukui.Akichukua kombe utaskia alikuwa anabebwa,Mo alikuwa anahonga waamuzi.

Ni heshima iliyotukuka kuona jinsi Utopoloni mnavyoteseka. Ni heshima kubwa.

Tangu mechi ya kwanza simba atachezea tano tano kote mmefeli, cha kushangaza mlivyo na akili za kenge hamjifunzi.

Kuna siku kila mtu atashabikia Simba.

Nb:
Naskia Molinga anarudi utopoloni, striker hatari. Yani hamko siriaz. Duuuh! 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…