Jeff Lea: Simba hamfiki mbali kwa ulinzi ule

Jeff Lea anajafanya anajua lakini ajui.
Huwezi kuwa Utopolo ukaujua mpira.Baada ya Simba kupoteza mechi ya pili na Ruvu shooting Walianza kusema kwa kiburi eti kila mtu ashinde mechi zake. Leo wanaongoza ligi lkn ndiyo timu isiyojiamini kuliko timu ZOTE.

NB:
Ukiona utopolo anaongoza ligi ujue Simba hajacheza. Na hili wanalijua vizuri. Ni suala la muda tu mwenye mamlaka na nafasi ya kwanza anakuja very very soon.
 
Hebu rudia tena huu Utopolo wako
 
Tuliwaambia kabla ya droo jamaa walikuwa wanaomba kukutana na simba coz ndo underdog kuliko wote.

Ila tukabezwa humu na kuitwa majina ya kila aina. Wakati tulikuwa tunawafahamisha yanayoripotiwa kwenye vyombo vya habari huko South Africa
 
Hadi Sasa Ni 4 washachezea [emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie huyo Jeff wanasimba tunadema hivi, kila mgonjwa na dozi yake. Ile ilikuwa dozi ya Dodoma jiji kulingana na ugonjwa wao.
Hongeren naona na kaizer chiefs mmempa dozi yake
 
Walimtukana kila aina ya tusi hawa wamatopeni sasa wamebaki kimya.

Tatizo Manara anawaaminisha vitu ambavyo havipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…