Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakubwa kati ya hao masterplans nani unaweza kumuamini ili akutoroshe sehemu ulipo?
Njoo utuambieView attachment 2333337View attachment 2333338View attachment 2333339
WashapaonaUlishawahi kupaona?
Sio rahisi kama watu wasiofahamiana kuwa na ushuhuda wenye maelezo yafananayoWahuni
Mwamba alikuwa master plan mpka wabishi kama Tbag na John Abruzzi walikubali mziki..T BAG alikuwa kwere kwa watu wengine ila linapokuja suala la Michael alikuwa anasarenda anamuita Genius na wakati zamani alikuwa anamuita fish😂
Stephen segal, anapiganaga kwenye video.Ndo nani uyo