Jehanam utakaa karibu nani ukisilizia mchongo akutoroshe?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakubwa kati ya hao masterplans nani unaweza kumuamini ili akutoroshe sehemu ulipo?

Njoo utuambie
 
Hakuna cha Jehanam subirini kuliwa tu na funza mkarutubishe ardhi tu.
 
Jehanamu kubwa kuliko ukubwa wa jua sembuse dunia. Utomjua mtu
 
Natamani kua malaika,natamani kua mtotooooooooooo-Lady Jaydee.
 
Hapa ni sawa na kutaka stephen segal akusindikize Ukrane ukatalii sababu ya ulinzi.
 
Wala mimi sita angaikIa kutoroka kwanza, nitaangaika kuwatafuta mafundi AC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…