Jekwamatokeo haya nitachaguliwa kuendelea A-level?

Jekwamatokeo haya nitachaguliwa kuendelea A-level?

J xharo

New Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Je nitachaguliwa kuendelea na A-level Matokeo yangu nihaya apa Div-3 point 26
Math-B+
phisics-C
chemistr-D
biology-D
geog-D
history-D
kisw-D
civics-D
english-D
 
We kilaza kweli! Shuleni ulikuwa unafanya nn? Pamoja na kupunguziwa max bado unapata huu upu.pu?
 
Usimdanganye! Kwa matokeo hayo umemis credt moja so kama unahtaji kwenda A Level lazma urest na leo ndo mwisho wa kulipia, japo fain itafuata! Lakn pia unaweza kwenda ualimu ngaz ya cheti kama huon sabab ya kurist
 
Hapo kwenye red ndo nini?
 
Je nitachaguliwa kuendelea na A-level Matokeo yangu nihaya apa Div-3 point 26
Math-B+
phisics-C
chemistr-D
biology-D
geog-D
history-D
kisw-D
civics-D
english-D

daah pole mkuu, yaani hio B+ bora hata Inge........!
kwa marks hizo huna sifa ya kufanya ACSEE. achiliambali kuchaguliwa A' Level
 
kuanzia mwaka 2013 na kurudi nyuma wewe ulikuwa huna sifa kabsa za kuendelea A-level
Nikiona B+ nahisi may be watatumia Criteria za Elimu ya juu (Chuo Kikuu) kama ni hivyo basi utatakiwa hizo D u-supp kwanza.
Pia kama watatumia criteria za A-level basi hizo D zako ni 'principal' na utakuwa na nafasi ya kuendelea bila shida.
 
da wwe ume2danganya kabisa yaan hapo ukihesabu unakua na dv 3 ya 30 wwe hyo ya 26 umepata wapi maana A=1,B+=2,B=3,C=4,D=5,E=6,F=7,acha kutuona mafa *la mjnga wwe
 
Je nitachaguliwa kuendelea na A-level Matokeo yangu nihaya apa Div-3 point 26
Math-B+
phisics-C
chemistr-D
biology-D
geog-D
history-D
kisw-D
civics-D
english-D

da wwe ume2danganya kabisa
yaan hapo ukihesabu unakua na
dv 3 ya 30 wwe hyo ya 26
umepata wapi maana A=1,B
+=2,B=3,C=4,D=5,E=6,F=7,a cha
kutuona mafa *la mjnga wwe
 
Kwani kamishna wa elimu ameshatoa ufafanuzi kuhusiana na hizo sifa za watu kuendelea kielimu?
 
Hata ungepata MATH-A,GEOG-A, Usingeruhusiwa kufanya mthani wa advance!. Lazma uwe na credt tatu,sasa we unazo mbili! rudia mthani mkuu, kitaa ni kugumuuu!
 
Back
Top Bottom