Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana roho ya mauaji.Wanataka watu wafe.Mashahidi wa Jehova hata ukipata ajali huruhusiwi kuongezewa damu ya mtu mwingine ni marufuku kwa imani yao
Waacheni watu na watoto wao. Hizo chanjo Ulaya hawachanji, ziko kwenye majaribio na zina madhara makubwa sana kwenye maisha ya baadaye ya mtoto aliyechanjwaWatu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio maagizo ya Mungu.
Hukumu hiyo imetolewa February 26,2024 na Mahakimu wa Mahakama hiyo Elis Mkama na Suzy Mkinga kwa Washtakiwa hao ambao ni Abiniel Isaya (27), Misheck Simon (28), Isack Simon (26), Yona Simon (30), Efeso Peter (28), Job Simon (36) na Joshua Meshack (40)
Akitoa taarifa kuhusu hukumu hiyo leo February 27, 2024, RPC wa Rukwa, Shadrack Masija amesema chanjo hiyo ilikuwa ikitolewa na Wizara ya afya katika Kijiji hicho February 18, 2024, ambapo sababu ya kugomea ni imani ya dini yao ya Kanisa la Watchtower kwamba chanjo sio maagizo ya Mungu.
RPC Masija mesema “Kugomea chanjo inayoelekezwa na Serikali ni kufifisha juhudi za Serikali za kupambana na maradhi hivyo amewahimiza Wananchi wazingatie maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na Serikali na wazitii Mamlaka za Serikali kwani zimewekwa na Mungu ambaye ndiye wote tunamwabudu”
CREDIT: MILLARD AYO
View attachment 2918605
Huwezi kugomea chanjo kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi sotaki yule achanjwe hiyo mamlaka haipoWameonewa tu labda kuwe na kosa jingine lakini kugomea chanjo sio kosa.
Kama mzazi hana maamuzi juu ya nini mwanawe afanyiwe au nini asifanyiwe huyo mtu baki hata ikiwa ni serikali mamlaka hayo anayapata wapi?Kuna maamuzi binafsi lakini ogopa kufanya maamuzi juu ya mtu mwingine mfano kuzuia mtoto asipate chanjo kitu ambacho ni hatari kwa Maisha yake mtoto ni kuyaweka Maisha ya mtoto hatarini
Huyo anayelazimisha chanjo mamlaka hayo anayapata wapi?Huwezi kugomea chanjo kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi sotaki yule achanjwe hiyo mamlaka haipo
Wonders shall never end! Mkuu, hivi hata wewe mwenyewe umeelewa ulichoandika? [emoji23]Kesi ya Mauaji ya watoto wadogo
Watoto hawajagoma bali wao watu wazima wanazuia haki ya mtoto kuishi kwa kuchanjwa kuzuia asipate maradhi ya kumuua ndio wanashinikiza watoto wasichanjwe ili wafe
Huyo hakimu kawapa adhabu ndogo sana Serikali ikate rufaa wapewe hukumu kubwa zaidi
Aliyetoa hukumu hiyo ni nani vile?Dhehebu ni 'watchtower' au Mashahidi wa Jehova, ambao wanachapisha vipeperushi vyenye jina watchtower?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Mamlaka ya serikali ni pamoja na kulinda afya za raia wake huwezi singizia kujisaidia hovyo hovyo barbarians kueneza kipindu pindu serikali ikikukamata useme mamlaka ya kukuzuia usijisaidie haja kubwa hovyohovyo serikali inatoa wapi inazuia rain wake wasiugue kipindupinduKama mzazi hana maamuzi juu ya nini mwanawe afanyiwe au nini asifanyiwe huyo mtu baki hata ikiwa ni serikali mamlaka hayo anayapata wapi?
Ushawahi kuona au kusikia mtu ameenda kukamatwa na kufungwa kisa ana tb au kansa au kisukari kwakuwa amekataa kwenda kutibiwa? Kwanini mtu akikataa chanjo iwe nongwa! mbona hatujasikia watu wakikamatwa na kufungwa kwa kukataa chanjo ya Covid 19 au chanjo ya homa ya ini au magonjwa hayo hayauwi? Halafu nitajie hiko kifungu cha sheria walichokiuka hao watu.Mamlaka ya serikali ni pamoja na kulinda afya za raia wake huwezi singizia kujisaidia hovyo hovyo barbarians kueneza kipindu pindu serikali ikikukamata useme mamlaka ya kukuzuia usijisaidie haja kubwa hovyohovyo serikali inatoa wapi inazuia rain wake wasiugue kipindupindu
Watoto ni Raia wa serikali inayo mamlaka kamili kulinda afya zao kwa chanjo
Uhuru wa kuabudu upon ila uhuru wa kutoa uhai haupoNakubaliana nawe, ni njia ya kutisha watu wasiwe na uhuru wa Imani zao kama ilivyoainishwa na katiba.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Uhuru wa kibinafsi kwa mtu mzima upo wa kukataa upo lakini huwezi tumia uhuru huo kukataa kwa niaba ya mtu mwingine kuwa mimi yule sitaki apewe dawa au chanjo awe mkubwa au mtotoUshawahi kuona au kusikia mtu ameenda kukamatwa na kufungwa kisa ana tb au kansa au kisukari kwakuwa amekataa kwenda kutibiwa? Kwanini mtu akikataa chanjo iwe nongwa! mbona hatujasikia watu wakikamatwa na kufungwa kwa kukataa chanjo ya Covid 19 au chanjo ya homa ya ini au magonjwa hayo hayauwi? Halafu nitajie hiko kifungu cha sheria walichokiuka hao watu.
Ni kifungu gani hicho cha sheria kinasema hivyo Au ni mawazo yako tu?Uhuru wa kuabudu upon ila uhuru wa kutoa uhai haupo
Mfano ukijifungia ndani ya Hengoed la ibadan ukasema mnajilipua moto muwahi kwa Mungu serikali itavamia hilo jengo na kuwatia nguvuni na kawashitaki kwa kutaka kujiua.Kujiua ni kosa na kuua mtu ni kosa
Watoto wakikosa chanjo ni hatari kwa Marshall yao hicho kitu serikali haiwezi kubali Maisha ya watoto yawe hatarini
Kaulize kwa nini kusafiri nje ya nchi bila chanjo huwezi kusafiri ?Huyo anayelazimisha chanjo mamlaka hayo anayapata wapi?
Hii hukumu si nzuri hata kidogo, na kwa kipindi hicho ambapo watakuwa ndani, serikali ichukue jukumu la kuwaangalia familia zinazotegemewa na hao waliyohukumiwa hicho kifungo. Chanjo zina faida na hasara pia, leo kuna idadi kubwa ya watoto waliyopatwa na maradhi ya usonji, ikiaminika kuwa sababu kubwa ni hizi chanjo wanazopewa watoto. Ni kweli hakuna utafiti uliyotolewa hadharani kwa kuwa litaharibu soko kubwa la chanjo hizo, tuliona tu hapa jinsi chanjo za Uviko zilivyoshikiwa bango na kuwalazimisha watu kuchomwa chanjo hizo, hivyo serikali lazima wajue jinsi ya kuwandea raia zake kuhusu mambo ya lazima kwenye afya zao. Hii kesi ifutwe na waachiwe watu waendelee na maisha yao.Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio maagizo ya Mungu.
Hukumu hiyo imetolewa February 26,2024 na Mahakimu wa Mahakama hiyo Elis Mkama na Suzy Mkinga kwa Washtakiwa hao ambao ni Abiniel Isaya (27), Misheck Simon (28), Isack Simon (26), Yona Simon (30), Efeso Peter (28), Job Simon (36) na Joshua Meshack (40)
Akitoa taarifa kuhusu hukumu hiyo leo February 27, 2024, RPC wa Rukwa, Shadrack Masija amesema chanjo hiyo ilikuwa ikitolewa na Wizara ya afya katika Kijiji hicho February 18, 2024, ambapo sababu ya kugomea ni imani ya dini yao ya Kanisa la Watchtower kwamba chanjo sio maagizo ya Mungu.
RPC Masija mesema “Kugomea chanjo inayoelekezwa na Serikali ni kufifisha juhudi za Serikali za kupambana na maradhi hivyo amewahimiza Wananchi wazingatie maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na Serikali na wazitii Mamlaka za Serikali kwani zimewekwa na Mungu ambaye ndiye wote tunamwabudu”
CREDIT: MILLARD AYO
View attachment 2918605
Sasa kwani nao walitaka kusafiri?Kaulize kwa nini kusafiri nje ya nchi bila chanjo huwezi kusafiri ?
Kuamini mtu aamini kivyake ila sio kwa niaba ya mwingineUpumbavu wa kidini ukiruhusiwa kuingia kwenye jamii kwa sheria ya kila mtu ana haki ya kuamini anavyoamini italeta taharuki kubwa sana.
Kabisa .Kuamini mtu aamini kivyake ila sio kwa niaba ya mwingine
Katiba inatambua kuwa dini ni swala la kibinafsi humwaminii mwingine kwa niaba yake
Tatizo linakuja mtu hataki tiba halafu anashinikiza na mwingine asipewe hapo ndipo tatizo lilipo kwa hao wayehova
NakaziaKifungu gani cha sheria wamehukumiwa nacho?
Chanjo ni muhimu
Matumizi ya akili kwenye sheria yanaashiria mafanikio ya chanjo alizopata mtoa hukumu