Jela mbaya...wamesema Jagwa Music!

Jela mbaya...wamesema Jagwa Music!

Screenshot_20220305-002622.png
Screenshot_20220305-002552.png


Tukubali tu kuwa Mbowe ni mwamba.
Mazungumzo na SSH Ikulu kaenda mwenyewe wakati wale wengine walikutanishwa ukumbini kusikiliza mawaidha ya SSH.
Mtu anatoka mahabusu na moya kwa Moja anatinga Ikulu na matamko yanatolewa! Dunia nzima wanafuatilia.
Alafu mwingine yupo tu ghetto muda huu anatukana tu ovyo!

Tujifunze kuwapa watu heshima zao.

Hii ni Tanzania Mpya. Karibu Sana
 
let us all behave in the eyes of the Government!
 
RIP Jack Simela.

Jagwa Music wamepeperusha bendera ya Tanzania mbali sana, mpaka Kennedy Center wamewakubali.





 
Back
Top Bottom