Tukubali tu kuwa Mbowe ni mwamba.
Mazungumzo na SSH Ikulu kaenda mwenyewe wakati wale wengine walikutanishwa ukumbini kusikiliza mawaidha ya SSH.
Mtu anatoka mahabusu na moya kwa Moja anatinga Ikulu na matamko yanatolewa! Dunia nzima wanafuatilia.
Alafu mwingine yupo tu ghetto muda huu anatukana tu ovyo!