Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80.
Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba aliyokuwa amejihifadhi na kuanza purukushani za kutaka kumuingilia kinguvu bila ridhaa yake, mpaka bibi kuzee huyo alipojiokoa kwa kumkata panga
Soma zaidi zaidi JELA MIAKA 15 KWA KUJARIBU KUMBAKA BIBI KIZEE MIAKA 80