Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
😅😅😅😅Kijana unawezaje kusimamisha kwa bibi wa miaka 80
Bibi kizee akamkata panga?😁😂😂
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80.
Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba aliyokuwa amejihifadhi na kuanza purukushani za kutaka kumuingilia kinguvu bila ridhaa yake, mpaka bibi kuzee huyo alipojiokoa kwa kumkata panga
Soma zaidi zaidi JELA MIAKA 15 KWA KUJARIBU KUMBAKA BIBI KIZEE MIAKA 80
Bibi Yuko vizuri Sana😅Bibi kizee akamkata panga?😁😂😂
HahahaKumbe bibi wa 80 yrs ana uwezo mzuri wa kumkabili kijana!! 🫢 tena kwakutumia silaha, pongezi zimfikie huyo ajuza.🫡
Ungeweka na picha ya Bibi kizee!😂Bibi Yuko vizuri Sana😅
Kuna Wazee wanazeeka na nguvu zao.Kumbe bibi wa 80 yrs ana uwezo mzuri wa kumkabili kijana!! í ¾í»¢ tena kwakutumia silaha, pongezi zimfikie huyo ajuza.í ¾í»¡
Mmmmh!
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kwenda jela miaka 15 John Swaki Fokasi, kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi kizee wa miaka 80.
Mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Aprili 03, 2024 huko Tulieni mashambani majira ya saa sita usiku alipomvamia bibi kizee huyo kwenye nyumba aliyokuwa amejihifadhi na kuanza purukushani za kutaka kumuingilia kinguvu bila ridhaa yake, mpaka bibi kuzee huyo alipojiokoa kwa kumkata panga
Soma zaidi zaidi JELA MIAKA 15 KWA KUJARIBU KUMBAKA BIBI KIZEE MIAKA 80
😅Mimi ningekuwa mhariri wa gazeti ningeandiak "NYEGE KWA BIBI KIZEE ZAMPELEKEA KUNYEA NDOO NA KUCHEZEWA KINYEO"
Naombeni kura zenu wakuu
SoC04 - Serikali iwaunganishie wananchi umeme bure, wakatwe kwenye luku. TASAF iweke utaratibu wa kuzilipia kaya masikini
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa sana kwa mujibu wa Tovuti rasmi ya Tanesco imeweka gharama za kuunganishiwa umeme ni kama ifuatavyo...www.jamiiforums.com
NdioKuna Wazee wanazeeka na nguvu zao.
Inashangaza sanaKijana unawezaje kusimamisha kwa bibi wa miaka 80
Ila huyu ni **** kabisa...Yaani bibi ndo kamkata na panga....