Jela miaka 15 kwa kujaribu kumbaka bibi kizee miaka 80

bibi kizee wa miaka 80 kumkata na panga.
huyu jamaa kauziwa mbuzi kwenye gunia.

jaribia la kubaka, anaweza akabambikiwa yeyote yule na akahukumiwa.
Usikute jamaa alimchukulia poa huyo bibi kama wewe unavyomchukulia poa akaishia kupigwa panga.
 
bibi kizee wa miaka 80 kumkata na panga.
huyu jamaa kauziwa mbuzi kwenye gunia.

jaribia la kubaka, anaweza akabambikiwa yeyote yule na akahukumiwa.
Panga la mkononi na kichwani ndivyo vilivyo mfungua huyo jamaa. Obviously alikili kosa Ndiyo maana Mh Hakimu a kampiga mvua hizo 15 chap chap
 
ange chapwa tu viboko maana hakutenda kosa lenyewe. kujaza tu watu jela bila sababu ya msingi.
 
Hivi mnawajua watu wa vijijini?miaka 80 mtu ana nguvu zake mbona
 
Hii taarifa ina ukakasi....jaribio la kubaka lakini alikuwa hajafanikisha ndo miaka 15 kweli haya sawa.....bibi wa miaka 80 anauwezo gani wa kupambana na hiyo njema.

huo muda bibi anatafuta panga jamaa alikuwa anafanya nini.

je polisi walimkuta eneo la tukio ndo wakamkamata au ilikuaje
 
Huwezi kupata kura kwani unayoongelea hayana uzuri wowote, bali kudhalilishana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…