Jela Miaka 20 Kwa kuchezesha Uume kwenye Nyeti za mtoto

Jela Miaka 20 Kwa kuchezesha Uume kwenye Nyeti za mtoto

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 20 jela Mussa Hassan Ntakula (70), Mkazi wa Kijiji cha Ngalinje baada ya kupatikana na hatia ya kosa la udhalilishaji wa kingono ambapo hukumu hiyo imetolewa mbele ya Hakimu Mfawadhi wa Mahakama ya Wilaya ya Masasi, Rehema Iddi na mwendesha mashtaka Miraji Kajini.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mtwara, Issa Suleiman, amesema hayo leo June 27,2025 wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Mahakamani kwa kipindi cha mwezi May, 2025 baada ya kuwakamata Watuhumiwa mbalimbali na baadhi ya Watuhumiwa kufikishwa Mahakamani.

“Ni kwamba Mtiwa hatiani alitenda kosa hilo April 08,2025 katika Kijiji cha Ngalinje baada ya kumlaghai Mhanga Mwanafunzi wa darasa la sita (13) (jina la Shule limehifadhiwa) anayeishi naye Mtaa na Kijiji kimoja kwa kumwita nyumbani kisha kumvua nguo, kutoa sehemu zake za siri (uume) kisha kuchezesha kwenye nyeti za mtoto huyo”
mahakama-pic-data-681x457-1.png

Chanzo: Millard Ayo
 
Genye za uzeeni, si aoe tu. Ona anaenda fia gerezani.
Hiyo ni changamoto ya afya ya akili imekutana na upwiru , mbona mimi naupwiru hapa nasifanyi hivyo nimetulia zangu tu hapa na vodka na barafu kidogo🤔
 
Alitenda kosa mwezi wa 4
Hukumu mwezi wa 6;
Je hizi kesi zingine, kwa nini zinachukua muda mrefu mpaka hukumu?
 
UVIVU TU WA KUSAKA DADA POA, AJUZA NA NYETO

Unaendaje kumdhalilisha kingono mtoto mdogo hivyo?
 
Back
Top Bottom