Alookama hana hela na ndugu zake hawana pia kazi anayo.
kama mshiko upo wakate rufaa, huko wapenyeze kitu kidogo kesi iishe kinamna
Miaka 66 ujue mingi sana.baraka nayeye bana,sasa si angeomba tu,labda ingechukua muda lakinu si kwamba angekosa.
Na mimi naomba sana kesi ikiisha kinamna aje kubaka wazee kwenye ukoo wako.kama hana hela na ndugu zake hawana pia kazi anayo.
kama mshiko upo wakate rufaa, huko wapenyeze kitu kidogo kesi iishe kinamna
labda vyakula tu,amini nakwambiaMiaka 66 ujue mingi sana.
Duu maisha haya miaka 66 kigoma wanamwona bibi wakati akiwa Dar vijana wanamwona shangaziMahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66.
Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama imejiridhisha pasipo na shaka ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na hatimaye kumtia hatiani mshitakiwa kwa kosa hilo.
Mshitakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho ili iwe fundisho kwa watu wanao jihusisha na vitendo vya ukiukaji wa sheria, maadili na ukatili dhidi ya wanawake.
Source - Nipashe
Tunataka fundisho kwa mafisadi sio kwa wabakaji tu.Mshitakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho ili iwe fundisho kwa watu wanao jihusisha na vitendo vya ukiukaji wa sheria, maadili na ukatili dhidi ya wanawake.
HakikaTunataka fundisho kwa mafisadi sio kwa wabakaji tu.
Nini zinabana na wewe[emoji14]Vijana wa hovyo, wanajazana za kina bibi zinabana km za watoto.!! Matokeo ndio hayo pumbavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa hovyo, wanajazana za kina bibi zinabana km za watoto.!! Matokeo ndio hayo pumbavu
Nani kakuambia baraka ni Sunday school tu?We baraka ndiyo uliyofundishwa huko Sunday school? Mbona huna adabu
Daaah mama hiyo pete akipita nayo check up mlimani pale kitu akilii hapo, dhahabu tu😀labda vyakula tu,amini nakwambia