Jela miaka 30 kwa kumbaka Bibi wa miaka 66

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama imejiridhisha pasipo na shaka ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na hatimaye kumtia hatiani mshitakiwa kwa kosa hilo.

Mshitakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho ili iwe fundisho kwa watu wanao jihusisha na vitendo vya ukiukaji wa sheria, maadili na ukatili dhidi ya wanawake.

Source - Nipashe
 
Attachments

  • 20240129_123832.jpg
    20240129_123832.jpg
    140 KB · Views: 14
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, imemuhukumu Baraka Michael (25) mkazi wa Rutale wilayani Kigoma kwenda jela miaka 30 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 66.

Akitoa hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi, amesema kuwa Mahakama imejiridhisha pasipo na shaka ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka na hatimaye kumtia hatiani mshitakiwa kwa kosa hilo.

Mshitakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho ili iwe fundisho kwa watu wanao jihusisha na vitendo vya ukiukaji wa sheria, maadili na ukatili dhidi ya wanawake.

Source - Nipashe
Duu maisha haya miaka 66 kigoma wanamwona bibi wakati akiwa Dar vijana wanamwona shangazi
 
Mshitakiwa huyo amehukumiwa kifungo hicho ili iwe fundisho kwa watu wanao jihusisha na vitendo vya ukiukaji wa sheria, maadili na ukatili dhidi ya wanawake.
Tunataka fundisho kwa mafisadi sio kwa wabakaji tu.
 
We baraka ndiyo uliyofundishwa huko Sunday school? Mbona huna adabu
 
Back
Top Bottom