Nchi ya kianithi sana hii ...vitendo vikubwa vya kihalifu watu awafungwi vifungo vikubwa ila mahakama zinahukumu vifungo vikubwa kwa mambo ya UCHI ....Uwezi kuwa na mfumo wa kipumbavu na kianithi namna hii kisha nchi ikawa sana ..kosa lolote linalousu mambo ya uchi ilitakiwa kifungo kikubwa kabisa ni miaka 2 hadi 4 tu labda ilo kosa liwe na makando kando mfano brutal rape nkMahakama ya Wilaya ya Mbeya imemhukumu Reiga Innocent (21), mchimbaji wa madini na mkazi wa Iwindi, Mamlaka ya Mji Mbalizi , kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka shangazi yake mwenye umri wa miaka 63.
Hukumu hiyo ilitolewa Oktoba 13, 2026 na Hakimu wa mahakama hiyo, Tedy Mrimba, baada ya mahakama kuridhika kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Agosti 29, mwaka huu.
Ilielezwa mahakamani hapo kuwa siku ya tukio, mshtakiwa alifika nyumbani kwa mhanga majira ya jioni na kumkuta akiwa peke yake, kabla ya kumshika kwa nguvu na kumbaka.
Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Imelda Luko, aliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mshtakiwa ili iwe fundisho kwake na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo, kwa lengo la kukomesha vitendo vya ukatili wa kingono.
Chanzo : Nipashe
Kabisa bwashee, nikiwa moro kuna muha mmoja alitaka kuning'oa meno kisa anadai nilim,,,mb,,,,a demu wake , dah yani ni ushamba wa hali ya juu kupanic mambo madogo wakati maisha bado yanahitaji energy na akili kuvuka.Zipo kesi za kwenda jela mwanaume, sio masuala ya utelezi na wanawake mkuu.
Msafwa mwenzio huyo Mkuu (Just joking).Ukiwa mchimbaji ndio uwe na akili za mende?
Kwa Wachimba Madini huenda ni Imani za kishirikina.unadinda vipi kwa mzee aisema😕
Hio akili watu wengine hua hawana wanajifanya Mungu Mungu sijui Mungu kufanya nini mwisho anajinyonga mwisho anabaka kwanini usiende kununua malaya wamejaa kibao pale Mbeya Pazuri hadi Mafiati ukapoa zako maisha mengine yakaendelea kwani lazima mpaka ubake kibibi cha miaka 63?Kwa mishepu iliyopo mbeya huwez kuwa mzima wa akili ukamtaman shanganz yako mzee ivyo ,ameshindwa hata kwenda mafyati pale akaokota mtumwa mmoja ,na chochote kimkute jela pia💯
UmemalizaNilipoona tu mchimba madini, nikajua ni maelekezo
Wewe kaa kimya acha kabisa kwenye madini kuna mengi yani tuliza hilo bakuriDah lijamaa fala sana , hiyo kitu ilikua ya kupigania miaka ya 1800 sio karne hii aisee , jamaa anakwenda kuokoteshwa sabuni jela kipumbavu sana.
Hayo mengi ikawaje yasimuokoe hilo jinga kufumwAWewe kaa kimya acha kabisa kwenye madini kuna mengi yani tuliza hilo bakuri
EtieeeeNilipoona tu mchimba madini, nikajua ni maelekezo