Jela miaka 40 kusafirisha dawa za kulevya

Kwanini ukimbilie kusema kanasa?
 
Committal proceedings are injustice!!!

Mtu anakaa miaka 9 mahabusu hukumu inatolewa anaambiwa hana hatia! Atakua kapoteza vitu vingapi hapo?

Madai eti uchunguzi haujakamilika!

Hizi sheria zinatakiwa zifanyiwe amendment ila amendments zinatoka nyingi zilizojaa upuuzi hakuna cha maana!

Nonsense 🚮🚮🚮
 
Kuna jamaa alikaa mahabusu miaka 9 akaja hukumiwa miaka 30 inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…