Jela yamuita Samuel Eto’o

Jela yamuita Samuel Eto’o

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Samuel Eto’o na timu ya taifa ya Cameroon huenda akafungwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya waendesha mashtaka kumhusisha na kashfa ya kukwepa kulipa ushuru nchini Hispania.
Eto’o kwasasa anakipiga Antalya Spor wa Uturuki, ni mmoja wa wachezaji ambao waliowahi kuchukua tuzo ya Mwanasoka Afrika mara nne.

xMD_20130704_FOTOS_D_54377212950-652x492,40MundoDeportivo-Web.jpg.pagespeed.ic.QJF1mF1t8p.jpg


Mahakama ya nchini Hispania imeanza kusikiliza kesi ambayo tayari imeeleza kuda kitita cha cola million 15.1 kwa mshambuliaji huyo kwa madai alikwepa kodi wakati wakati akiichezea Barcelona.
Taarifa zinasema, mwakilishi wa Eto’o, Jose Maria Mesalles Mata ndiye anaweza kukutana na adhabu hiyo kama mwanasoka huyo raia wa Cameroon hatatokea.
 
ye aende tu na sisi tutamfata huku tanzania hali imekua ngumu mno, bora jela
 
Ile ya Messi iliishia wapi? au ndio rangi , arudi Cameroon afanye yake tu.
 
Ingekua bongo wangelaumiwa Mamlaka ya mapato kua wanakusanya [HASHTAG]#Area[/HASHTAG]
 
Kwanini unakwepa kulipa kodi,wakati kumefanyika biashara ............Huyo ni wakunyea debe tu.
 
Huu utaratibu wa kufunga wenye hatia ya kukwepa kodi ingefaa utekelezwe pia hapa Tz
 
Back
Top Bottom