ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sio jellyfish wote hawafi ila kuna huyo kitaaluma anaitwa Turritopsis dohrnii yeye pia huanza maisha kama lava, inayoitwa planula, ambayo hukua kutoka kwa yai lililorutubishwa. Planula huogelea mara ya kwanza, kisha hukaa kwenye sakafu ya bahari na kukua katika koloni kisha hutokeza medusa hii inayofanana kijeni na wanyama tunaowatambua kama jellyfish ambao hukua hadi kuwa matured baada ya wiki chache.
Akiwa mkubwa huyu Turritopsis dohrnii ana upana wa takriban milimita 4.5.. Viumbe hawa wadogo wana ujuzi wa ajabu wa kuishi.wanaweza kukabiliana na uharibifu wa kimwili au hata njaa, wanarudi nyuma katika mchakato wao wa maendeleo ya ukuaji na kubadilisha tena kuwa polyp. Katika mchakato unaoonekana kama kutokufa, koloni ya polipu iliyozaliwa mara ya pili huchipuka na kutoa Tena medusa. tukio hili lilipoonwa kwa mara ya kwanza katika miaka ya 1990, spishi hiyo ikaitwa “jellyfish asiyeweza kufa.