YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Vita ya Corona dunia nzima inawasumbua kote kuliko na majeshi yenye nguvu na teknlojia ya hali ya juu na wenye huduma za afya bora duniani zenye madaktari bingwa wazuri duniani ikiwemo Ubelgiji wako hoi kusumbuliwa na Corona.
Nchi zenye elimu bora na waongea kiingereza kizuri ikiwemo kenya na marekani kwa marafiki wa Lisu hali ngumu Corona muziki mzito kwao.
Sisi Tanzania chini ya jemadari wetu hodari kwa vita hii ya corona ya dunia tumeishinda na kuwa taifa LA kwanza duniani kuikimbiza Corona chini ya jemadari mkuu Mungu ambaye Jemadari wetu aliiomba tumwuombe
Mungu atakupa miaka mitano tena Jemadari wetu uendelee utuvushe vita zingine mbele.
Relax Mungu yu pamoja nawe kukushindia uchaguzi huu. Na sisi tuko pamoja nawe hatutalala hadi tuhakikishe unakanyaga Ikulu ndipo tutalala baada ya kumaliza kazi.