Dah nyie WATU ni wakuonea huruma kwa kweli Kwa hiyo Tundu Lissu akipewa NCHI Tanzania itakuwa Kama ulaya ndania ya 5years?.BINADAMU YOYOTE ANAANGALIA UDHAIFU TU HUWA NI WA KUOGOPA SANA
Unafikiri Ndege mlizo nunua hizo Pesa mngezielekeza kwenye Maisha ya Watu (walio wengi) ,tungejenga Vivuko (Madaraja) mangapi.?.Kwenye Afya je ?
Hujalazimishwa kuamini Na hakuna alielazimishwa Wachaaa watu na Imani Zao Unamkatazaje MTU kuamini Mungu katendaa miujizaaCCM mna Mambo ya Ajabu Saana. Hakuna lililobadilika wala Kuongezekana ama Kupungua Kuhusu Covid.
Aliyekwambia Kuwa Labda kwa Majirani ndiyo wanashida na Corona ni nani? Kiufipi ni Kuwa nao hawajaamua tu kuruhusu Shughuli ziendelee. Kenya, Uganda, Tanzania na Afrika Kiujumla Madhara ya Corona hayatakuwa na Tofauti Kama nao wataruhusu Shughuli ziruid kama zamani. Acheni kuwafanya Watanzania Wajinga eti Mungu Kaiponya na Corona Tanzania, Ipo kama ilivyostahili Kuwa, Msiwafanye Watu Wajinga Kiasi hicho japo Wengi wanaamini hivyo.
Lissu anangalia beberu lake Amsterdam linasemaje,Lissu alisema Corona inaua wa-TZ kama kawaida yake akiwa Nairobi. Akapewa sifa ya kushambulia serikali, naye akavimba kichwa. Mbona kaingia kampeni havai barakoa na akijichanganya kwenye makundi. Sifa za kijinga.
Tatizo aliamini yeye ni m-TZ mwenye ufahamu kuliko wengine wote! Baada ya uchaguzi ndo ataelewa wanaomshangilia wana maana gani.Lissu anangalia beberu lake Amsterdam linasemaje,