YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa demokrasia ya vyama vya upinzani watukane serikali watakavyo na mafisadi wa chama na serikali na mashirika ya umma waibe watakavyo kila fisadi ashindwe mwenyewe iwe kupitia tenda feki,ajira feki za kikabila,au wizi wa kiofisi,iwe za vyeti bandia Ni wewe tu ushiindwe mwenyewe . Magufuli kapambana na Vita kubwa ya mafisadi wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na ndani ya CCM ,wazembe serikalini ,wenye vyeti feki na katuvusha Vita ya Corona Niko upande wake lazima apate kipindi Cha pili
Corona ilisumbua dunia akaja na solution ya kujifukizia na maombi ya kuomba na kufunga Kuomba Mungu atunususuru kama taifa tumenusurika
Hizi Vita kubwa katuvusha nataka kila mwana CCM ampe ndiyo kipindi Cha awamu ya pili .Namuunga mkono asilimia Mia moja Magufuli arudi awamu ya pili