Jemadari wa Vita Bora hujulikana kwenye Vita Magufuli umepigana Vita ya ufisadi na Corona upewe kipindi kingine

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa demokrasia ya vyama vya upinzani watukane serikali watakavyo na mafisadi wa chama na serikali na mashirika ya umma waibe watakavyo kila fisadi ashindwe mwenyewe iwe kupitia tenda feki,ajira feki za kikabila,au wizi wa kiofisi,iwe za vyeti bandia Ni wewe tu ushiindwe mwenyewe . Magufuli kapambana na Vita kubwa ya mafisadi wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na ndani ya CCM ,wazembe serikalini ,wenye vyeti feki na katuvusha Vita ya Corona Niko upande wake lazima apate kipindi Cha pili

Corona ilisumbua dunia akaja na solution ya kujifukizia na maombi ya kuomba na kufunga Kuomba Mungu atunususuru kama taifa tumenusurika

Hizi Vita kubwa katuvusha nataka kila mwana CCM ampe ndiyo kipindi Cha awamu ya pili .Namuunga mkono asilimia Mia moja Magufuli arudi awamu ya pili
 
Kuteka, kupiga risasi, kubambikizia kesi, kuua watu hivyo, kuamua mambo kienyeji bila kufuata vikao, kugawa pesa barabarani hovyo, kununua ndege kama maembe bila kufuata taratibu, kuwanyima watumishi wa umma nyongeza ya mishahara kwa miaka 5 nk....

Ndio vita nzito hii eeh?
Acheni kutuona wapumbavu!
 
Mnaonje kwa sababu mna mamaka mkaondoa kale kakipengele cha ukomo wa Madaraka ,maanake hii chapaa tunayo fanya nayo Uchaguzi ambao mshindi ana julikana ni mingi sana.Tuna weza ku'save hiyo Pesa tukafanyia mambo mengine Mkuu.
 
Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa demokrasia ya vyama vya upinzani watukane serikali watakavyo na mafisadi wa chama na serikali na mashirika ya umma waibe watakavyo kila fisadi ashindwe mwenyewe iwe kupitia tenda feki,ajira feki za kikabila,au wizi wa kiofisi,iwe za vyeti bandia Ni wewe tu ushiindwe mwenyewe . Magufuli kapambana na Vita kubwa ya mafisadi wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na ndani ya CCM ,wazembe serikalini ,wenye vyeti feki na katuvusha Vita ya Corona Niko upande wake lazima apate kipindi Cha pili

Corona ilisumbua dunia akaja na solution ya kujifukizia na maombi ya kuomba na kufunga Kuomba Mungu atunususuru kama taifa tumenusurika

Hizi Vita kubwa katuvusha nataka kila mwana CCM ampe ndiyo kipindi Cha awamu ya pili .Namuunga mkono asilimia Mia moja Magufuli arudi awamu ya pili

Hapambani na ufisadi bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Angekuwa anapambana na ufisadi Kange Lugola angekuwa jela. Kama angekuwa anapambana na ufisadi na sio kulipa visasi, akina Rugemalila wangekuwa ndani na viongozi wa serikali walioshirikiana nao kuiba pesa ya umma.

Corona haipiganwi kwa maombi, vinginevyo tufanye maombi ukimwi nao uishe. Kinachofanyika kwenye Corona ni serikali kukwepa wajibu wake, na kujali zaidi miradi ya kusaka sifa za kisiasa kuliko afya za watu.

Anaweza kupata kipindi cha pili kweli, ila hawezi kushinda kwa kura nyingi kama ambavyo yeye na wapambe wake wanavyotamani, bali ni kwa kunajisi box la kura, kama alivyokuwa anafanya akiwa mbunge. Lengo hasa la kunajisi box la kura ni ili ajaze wabunge bwana ccm, lengo ni wapate nguvu ya kuchezea katiba aendelee kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi.
 
Wakati Tanzania tuna mkabidhi MUNGU maisha yetu kuna viongozi walitucheka na kutuona hatuna akili.
MUNGU AMEAMUA KUWAONYESHA KWA VITENDO.
hatukupoteza MAOMBI YETU.
 
Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa demokrasia ya vyama vya upinzani watukane serikali watakavyo na mafisadi wa chama na serikali na mashirika ya umma waibe watakavyo kila fisadi ashindwe mwenyewe iwe kupitia tenda feki,ajira feki za kikabila,au wizi wa kiofisi,iwe za vyeti bandia Ni wewe tu ushiindwe mwenyewe . Magufuli kapambana na Vita kubwa ya mafisadi wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi na ndani ya CCM ,wazembe serikalini ,wenye vyeti feki na katuvusha Vita ya Corona Niko upande wake lazima apate kipindi Cha pili

Corona ilisumbua dunia akaja na solution ya kujifukizia na maombi ya kuomba na kufunga Kuomba Mungu atunususuru kama taifa tumenusurika

Hizi Vita kubwa katuvusha nataka kila mwana CCM ampe ndiyo kipindi Cha awamu ya pili .Namuunga mkono asilimia Mia moja Magufuli arudi awamu ya pili
Sawa binti uzuri wa corona huwa inapiga kulekule dikteta mwenzenu familia yake inazidi kuisha uko
 
Naunga hoja.
 
Back
Top Bottom