Kabisa aisee mi imani yangu imeanza kurudi kwa hili shindano aisee, sema mwanzo tu, asikate tamaa wala kusikiliza kina nyumbu ka kina wolpernaamini akijipanga zaidi na kutofuata yale walioyafanya akina Lundenga, Miss Tanzania itapata hadhi na hata wadhamini pia watapatikana wa maana..... ajipange zaidi ya hapa
Kuna watu wamepata platform nzuri ya kupaza sauti zao na kusikika vyema tatizo wamekosa content, akina wolper hawana cha kuongea ila wanasehemu ya kuongelea basi kila kinachokuja kichwani wao ni kukitoa tu kama kilivyo. Wolper anavyokosoa hii ishu utadhani ana uwezo wa kufanya hata nusu ya hapoKabisa aisee mi imani yangu imeanza kurudi kwa hili shindano aisee, sema mwanzo tu, asikate tamaa wala kusikiliza kina nyumbu ka kina wolper
Sonia G ina maana hata Clouds camera yao ilikuwa ya tecno..?ukweli ni kwamba hii gari ilioshwa tena matairi baada ya Clouds kufanya makosa ya kuipost na watu picha wamechukua kwa page ya CloudsSimu zenu za tecno gari nzuri + kitanda kizuri kile huo ni wivu wa kike
Huyo wolper ugumu wa maisha wamsumbua mi namwamini Basila kwa hilo shindano hata marushwa ya ngono yatapungua huko, maana hata category za ma miss zilizoko zina faida, mwakani naamini shindano litadamshi sana na wadada warembo watajitokeza, pia Basila angekuwa anawataftia kazi za kwenye ndege ki jamii, kungenoga zaidi tofauti na zamani za kina wema ilikuwa inaonekana uhuni mtupu.Kuna watu wamepata platform nzuri ya kupaza sauti zao na kusikika vyema tatizo wamekosa content, akina wolper hawana cha kuongea ila wanasehemu ya kuongelea basi kila kinachokuja kichwani wao ni kukitoa tu kama kilivyo. Wolper anavyokosoa hii ishu utadhani ana uwezo wa kufanya hata nusu ya hapo
Hahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekanaHuyo wolper ugumu wa maisha wamsumbua mi namwamini Basila kwa hilo shindano hata marushwa ya ngono yatapungua huko, maana hata category za ma miss zilizoko zina faida, mwakani naamini shindano litadamshi sana na wadada warembo watajitokeza, pia Basila angekuwa anawataftia kazi za kwenye ndege ki jamii, kungenoga zaidi tofauti na zamani za kina wema ilikuwa inaonekana uhuni mtupu.
Naona mumebase kwenye gari mi naona gari si muhimu, Miss Tanzania tu ni platform kubwa ya mabinti kutoka ki maisha angalia kina hoyce , Nancy Joketi mi naona tutoe michango ya kuliboresha shindano zaidiHahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekanaView attachment 861475View attachment 861476
naona tutakuwa si waingwana kama tutajikita katika kuzijadili changamoto pasipo kuangalia mazingira yaliyopelekea kutokea kwa changamoto hizo. Ni kweli watu walitarajia labda zawadi iwe kubwa kuliko ile waliyoiona ila hayo ni matarjio tu ambayo hayajafikiwa, tuangalia kilitokea nini hadi ikawa hivyo.Hahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekanaView attachment 861475View attachment 861476
We ni Basila Mwanukuzi?Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.
Walienda kuipiga maji baada ya kuona mapichapicha IG hawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tena ile passo ilikuwa mbovu na matairi ya spare nikiona mtu anamtetea uyo jembe ni jembe namuona zuzu
Visimu vyao vya tecno ndio vimepausha gari ile mbona hawaongelei kile kitanda
View attachment 861425
Na ilipigwa maji kweli...Walienda kuipiga maji baada ya kuona mapichapicha IG hawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] miss Rukwa alikuwa kakomaa sana aisee hakuingia top tenYule miss rukwa kachukua nafasi ya ngapi?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] miss Rukwa alikuwa kakomaa sana aisee hakuingia top ten
Hapana kwa kweli ule mkono wake akikukaba pumzi zinakata kabisa, hafu Jana alikuwa full kucheka Cheka yaniMbona mtt alikuwa matata sn yule haya mashindano yana upendeleo sn
Ni uhuru wakeUshauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwan
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.
Hukumskia waziri Mwakyembe? Alisema baadhi ya washiriki wa miss Tanzania watapelekwa mafunzoni na kuajiriwa na Air TanzaniaHuyo wolper ugumu wa maisha wamsumbua mi namwamini Basila kwa hilo shindano hata marushwa ya ngono yatapungua huko, maana hata category za ma miss zilizoko zina faida, mwakani naamini shindano litadamshi sana na wadada warembo watajitokeza, pia Basila angekuwa anawataftia kazi za kwenye ndege ki jamii, kungenoga zaidi tofauti na zamani za kina wema ilikuwa inaonekana uhuni mtupu.