Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

naamini akijipanga zaidi na kutofuata yale walioyafanya akina Lundenga, Miss Tanzania itapata hadhi na hata wadhamini pia watapatikana wa maana..... ajipange zaidi ya hapa
Kabisa aisee mi imani yangu imeanza kurudi kwa hili shindano aisee, sema mwanzo tu, asikate tamaa wala kusikiliza kina nyumbu ka kina wolper
 
Kuna watu wamepata platform nzuri ya kupaza sauti zao na kusikika vyema tatizo wamekosa content, akina wolper hawana cha kuongea ila wanasehemu ya kuongelea basi kila kinachokuja kichwani wao ni kukitoa tu kama kilivyo. Wolper anavyokosoa hii ishu utadhani ana uwezo wa kufanya hata nusu ya hapo
 
Simu zenu za tecno gari nzuri + kitanda kizuri kile huo ni wivu wa kike
Sonia G ina maana hata Clouds camera yao ilikuwa ya tecno..?ukweli ni kwamba hii gari ilioshwa tena matairi baada ya Clouds kufanya makosa ya kuipost na watu picha wamechukua kwa page ya Clouds
Screenshot_2018-09-09-14-32-30.jpg
 
Kuna watu wamepata platform nzuri ya kupaza sauti zao na kusikika vyema tatizo wamekosa content, akina wolper hawana cha kuongea ila wanasehemu ya kuongelea basi kila kinachokuja kichwani wao ni kukitoa tu kama kilivyo. Wolper anavyokosoa hii ishu utadhani ana uwezo wa kufanya hata nusu ya hapo
Huyo wolper ugumu wa maisha wamsumbua mi namwamini Basila kwa hilo shindano hata marushwa ya ngono yatapungua huko, maana hata category za ma miss zilizoko zina faida, mwakani naamini shindano litadamshi sana na wadada warembo watajitokeza, pia Basila angekuwa anawataftia kazi za kwenye ndege ki jamii, kungenoga zaidi tofauti na zamani za kina wema ilikuwa inaonekana uhuni mtupu.
 
Hahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekana
Screenshot_2018-09-09-14-32-30.jpg
Screenshot_2018-09-09-15-00-23.jpg
 
Hata sio faida ya hayo mashindano kuepo Tz zaid yana hasara kwa kuongeza Malaya na wadangaj town. Na ukiangalia wote wanao shiriki n zero. IQ
 
Hahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekanaView attachment 861475View attachment 861476
naona tutakuwa si waingwana kama tutajikita katika kuzijadili changamoto pasipo kuangalia mazingira yaliyopelekea kutokea kwa changamoto hizo. Ni kweli watu walitarajia labda zawadi iwe kubwa kuliko ile waliyoiona ila hayo ni matarjio tu ambayo hayajafikiwa, tuangalia kilitokea nini hadi ikawa hivyo.
Kuna wakati enzi za akina Lundenga baadhi ya wadada walikuwa wakishiriki huku kivutio kikubwa kikiwa ni zawadi watakazopewa na sio jukumu watakalokuwa nalo baada ya kupata taji hilo, zawadi zilikuwa kubwa kutokana na mvuto wa event yenyewe. Taratibu akina Lundenga wakaanza kuishiwa ubora na kukosa mvuto kutokana na sababu mbambali ikiwemo za kimaadili.
Wadhamini wengi wenye nguvu walijiondoa, miss Tanzania ikawa ya hovyo kwa viwango vyote ahadi ikafungiwa hakuwepo yeyote kati ya hawa wasema hovyo wa sasa aliyepata ujasiri wa kuona namna gani atairudisha Miss Tanzania, ilionekana ni kitu kilichojifia kabisa.
wametokea watu wenye ujasiri angalau wa kuirejesha na hakika wamejitahidi katika maeneo mengi sana ila ghafla kuna watu wanajipa upofu na kuona ishu ya gari kuwa ndio jambo pekee linalopaswa kujadiliwa na wanasahau kuwa hii ni hatua ya kwanza, hakukuwa na wadhamini wenye nguvu na ili kuwapata wadhamini hao ni lazima uonyeshe uwezo katika kuimudu shughuli yenyewe. Naona waandaji wameonyesha wanaweza sana na bila shaka mwakani itatoka zawadi kubwa zaidi japo siamini kuwa dhima kubwa ya miss Tanzania ni kutoa zawadi pekee.
halafu hiyo picha ya gari inayotumiwa katika kulidunisha imepigwa na simu ya hovyo huenda kwa malengo ya hovyo pia. kuna picha bora kwa malengo bora ipo mtandaoni
 
Yule miss rukwa kachukua nafasi ya ngapi?!
 
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.
We ni Basila Mwanukuzi?
 
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwan
Ni uhuru wake
Walinyanyasika na kudhilishwa,matokeo yake zawadi ya kitaifa imekuwa mbovu kuliko ya mshindi wa kanda
 
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.

Le Mutuz si msomi, ana kijidigrii cha kitoto sana na wala si kigezo cha yeye kuitwa msomi labda mtembeaji/msafiri wa majini hapo nitakuelewa. Huwezi kuwa msomi na mbea at the same time LAZIMA kimoja kitakushinda tu.
 
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.

Le Mutuz si msomi, ana kijidigrii cha kitoto sana na wala si kigezo cha yeye kuitwa msomi labda mtembeaji/msafiri wa majini hapo nitakuelewa. Huwezi kuwa msomi na mbea at the same time LAZIMA kimoja kitakushinda tu. Yeye Le Mutuz anafuata asili yake ya kupiga domo kutwa kucha na kufuatilia maisha ya watu.
 
Huyo wolper ugumu wa maisha wamsumbua mi namwamini Basila kwa hilo shindano hata marushwa ya ngono yatapungua huko, maana hata category za ma miss zilizoko zina faida, mwakani naamini shindano litadamshi sana na wadada warembo watajitokeza, pia Basila angekuwa anawataftia kazi za kwenye ndege ki jamii, kungenoga zaidi tofauti na zamani za kina wema ilikuwa inaonekana uhuni mtupu.
Hukumskia waziri Mwakyembe? Alisema baadhi ya washiriki wa miss Tanzania watapelekwa mafunzoni na kuajiriwa na Air Tanzania
 
Back
Top Bottom