Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Angesifia Magufuli basi misukule wote mngekuwa mnapamba sifa za shindano saa hizi, sijui mkoje ninyi viumbe?Hahahahaha mnapata shida sana kutetea visivyo wezekanaView attachment 861475View attachment 861476
hahaa yaani nivituko+ ...Hata gari la miss Tanzania ni kituko zaidi ya miss lake zone
seba ni kama public figure" kwa vijana wanao pambana ili waweze kufikia kwenye hatima ya mafanikio"...: mtu kama yeye hapaswi kujiingiza kwenye uswahili wa kuongea ongea hovyo " kwa hili hata kama atakuwa anaongea ukweli" jibu litakalo kuja kwa baadhi ya watu ..litakuwa ni kwamba " analipiza kukosoa baada ya yeye kukoselewa awali " kuhusu zawadi yao ya gari ...Ni uhuru wake
Walinyanyasika na kudhilishwa,matokeo yake zawadi ya kitaifa imekuwa mbovu kuliko ya mshindi wa kanda
wazo zuri sana hilo "..Hukumskia waziri Mwakyembe? Alisema baadhi ya washiriki wa miss Tanzania watapelekwa mafunzoni na kuajiriwa na Air Tanzania
Sonia G ina maana hata Clouds camera yao ilikuwa ya tecno..?ukweli ni kwamba hii gari ilioshwa tena matairi baada ya Clouds kufanya makosa ya kuipost na watu picha wamechukua kwa page ya CloudsView attachment 861471
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.
Mipasho kama hadija kopa. Big up- Waliyataka wenyewe kutupa mawe kwenye nyumba ya kioo, walikimbilia kwenye Instagram kuwadhalilisha watayarishaji wa Miss Lake Zone kwamba gari lao bovu. Na wao wamerudia makosa yale yale ya kutoa gari bovu sasa ulitaka nifanye nini niwashangilie? hahahaha dada kachemka uliona wapi Miss Tanzania imejaa Media kuliko wateja? hahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyikia kwenye ukumbi wa mikutano ya Taifa? hahahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyika bila pombe? hahahahaha msitafute pa kufia tatizo ni agenda zenu za kutafuta vyeo vya siasa kwa kutumia Miss Tanzania baada ya kuwa upande wa Lowassa maisha yenu yote, sasa mnadhani mkifanyia mahsindano ya Miss Tanzania kwenye Nyerere Conference mtatusahaulisha, record zipo mlivyokuwa mnamtukana Rais wa sasa kwenye uchaguzi uliopita.
- Poleni sana mambo ya mitandao hamuyajui mkajifanya kuwachafua Miss Lake Zone kwenye mitandao yaliyoakuta ndio matokeo yake kwenye maisha "TUNAVUNA TULICHOPANDA" hahahahahaha! Sasa kaeni chini mjipange tena jiulizeni mmekosea wapi? Mimi sio tatizo lenu tatizo ni nyinyi wenyewe na agenda zenu za kitoto!
le Mutuz Superbrand
Mipasho kama hadija kopa. Big up
Tatizo si kujitetea bali jinsi unavyojitetea. Asante sana.- Demokrasia ni kusikiliza pande zote mbili, ulisikia inayonishitaki sasa hutaki nijiteteee hahahahaha pole sana
le Mutuz Superbrand
Tatizo si kujitetea bali jinsi unavyojitetea. Asante sana.
Tessychocolate si kashika nafasi ya mama watt wake?,stress za nin tena...Tangu aachane na mke wake kawa mwehu kweli,mara apigane bar,mara azingue watu wakiwa bar,jamaa ana stress sana za maisha!!!
Unaandika kama malkia wa kuchamba- Ok naomba nipe maelekezo namna ya kujitetea hahahahahaa mimi sijalalamikia mlivyonishambulia lakini nikijibu ni mipasho, sawa nipe maelekezo
le Mutuz Superbrand
duuuhh kumbe ulikuja kukiwasha " Aisee haupitwi ""??!!- Ok naomba nipe maelekezo namna ya kujitetea hahahahahaa mimi sijalalamikia mlivyonishambulia lakini nikijibu ni mipasho, sawa nipe maelekezo
le Mutuz Superbrand
Sasa kundi lake lenyewe analotembea nalo ni la machoko lazma awe na wivu wa kikeHuyo jamaa ana wivu wa kike.
Hawaelewekagi hao kama tyre la mbeleAngesifia Magufuli basi misukule wote mngekuwa mnapamba sifa za shindano saa hizi, sijui mkoje ninyi viumbe?
Sasa kundi lake lenyewe analotembea nalo ni la machoko lazma awe na wivu wa kike