Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

Ni uhuru wake
Walinyanyasika na kudhilishwa,matokeo yake zawadi ya kitaifa imekuwa mbovu kuliko ya mshindi wa kanda
seba ni kama public figure" kwa vijana wanao pambana ili waweze kufikia kwenye hatima ya mafanikio"...: mtu kama yeye hapaswi kujiingiza kwenye uswahili wa kuongea ongea hovyo " kwa hili hata kama atakuwa anaongea ukweli" jibu litakalo kuja kwa baadhi ya watu ..litakuwa ni kwamba " analipiza kukosoa baada ya yeye kukoselewa awali " kuhusu zawadi yao ya gari ...
nimalizie tu kwa kusema " mtu ambaye" anashiriki kwenye event's kubwa kama hizo halafu hatarajii kukosolewa" akikosolewa ana panic " huwa anajiondolea sifa " ya kuwa mshirika moja kwa moja
 
..naomba nitoe rai yangu tu . kwa Waandaji mbali mbali wa events hapa nchini ..

iko hiviiiiii" tanzania ya sasa imebadilika mnooo kwa kasi haswaa " ubadilikaji wake unachagizwa na kuwa na sehemu kubwa ya kundi la wananchi wanajitambua kwa kiwango kikubwa "pia mabadiliko hayo yanachagizwa na kasi ya ongezeko la ukuaji wa watumiaji wa social network's ... nguvu kubwa mnoo ya watanzania wanaojitambua zaidi imehamia hapo kwenye (social networks)...
so inapotokea " wanapopata nafasi yakuandaa tafrija flani wajitahidi mnooo kupambana na madhaifu yao na kuhakikisha kuwa tafrija hiyo inakuwa na wembamba wa kasoro " kinyume na hapo " utaanza kukosolewa siku hiyo hiyo ya event " kwa sababu mitandao ya kijamii inawapa fursa watu kuweza " kusambaza taarifa kwa haraka na kuwafikia watu wengi "
hii sio ile tanzania ya miaka 2000 kurudi nyuma " wakati ambao uliokuwa unatoa fursa kwa wajanja wachache " kuwa HABARISHA" wajinga wengi" wakati ambao " wajanja hao walikuwa wanachagua" kipi kifike kwenye Jamii na kipi kisifike

Tanzania ya sasa.. kila mtu amekuwa ni muandishi wa habari wa kujitegemea ...maana hizi smartphone zimetupa huo uhuru " hivyo ni vyema wahusika wakuandaa hizo tafrija " wakawa wanajiandaa vyema ili wasikutane na dhihaka toka kwa wananchi " maana dhihaka huondoa mvuto wa event yenyewe nakuifanya ikose " soko la wakati ujao"...

mwisho kabisa natoa pongezi kwa waandaji wa event ya Miss tanzania " .kwa kuwa hii ndio mara ya kwanza wanastahiki pongezi " maana mashindano yenyewe " yalikuwa ICU " wamejitahidi mnoo kuyapatia nafuu
.. msimu ujao wajitahidi " kuepuka makosa yaliyofanyika mwaka huu "natumai next year "zawadi ya gari haitokuwa fa fa fa fa tena

".. muhimu zaidi ni kwamba wamemudu kuyarejesha haya mashindano kwenye mioyo na akili ya watanzania
 
Tokea Mange aseme alimpa majibu Wema, nimedharau haya mashindano kabisa
 
Write your reply...jembe ni jembe na le mbebez wanagubu jamani
 
Mkuu una undugu na miss tanzania mbona una umia sana,,tanzania ya viwanda sio ya ma miss[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Ahlan wa Sahlan ndugu zangu naomba niliwasilishe hili kwenu wanajamii na kimshauri huyu brother ninaemuheshimu na kumuona mtu wa kupigiwa mfano kutokana na jitihada zake kimaisha na kusaidia katika jamii.
Huyu bwana alikua muandaaji wa Miss lake zone ambao waliingia kwenye kashfa ya kutaka kutoa gari kuukuu kwa mshindi. Kamati ya Miss Tanzania ikawakalia kooni ukweli kwamba kulikuwa na janja janja kwenye lile.
Sasa jana ndo ikafanyika Miss Tanzania Grand Finale sasa brother huyu ninayemuaminia sana na kundi lake kina Le Mutuz na Wolper wamedhamiria kuchafua shindano hilo kwa kutupa vijembe mbalimbali kuonesha kasoro hata ambazo hazipo mitandaoni. Mara mshindi kapewa babywalker mara washindi walipangwa kitu ambacho ni kigumu kuamini kama kinazungumzwa na kijana msomi kam yeye kina Le Mutuz Wolper hatushangai.
Ushauri kwake Nimuombe Seba Ndege ajifunze kupokea changamoto na kama kuna jambo lilimkwaza wananjia zao za kulimaliza kuliko Dk Mzima kama yeye kuchamba mitandaoni. Mwanaume hanuni kwa mashavu bwana.

- Waliyataka wenyewe kutupa mawe kwenye nyumba ya kioo, walikimbilia kwenye Instagram kuwadhalilisha watayarishaji wa Miss Lake Zone kwamba gari lao bovu. Na wao wamerudia makosa yale yale ya kutoa gari bovu sasa ulitaka nifanye nini niwashangilie? hahahaha dada kachemka uliona wapi Miss Tanzania imejaa Media kuliko wateja? hahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyikia kwenye ukumbi wa mikutano ya Taifa? hahahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyika bila pombe? hahahahaha msitafute pa kufia tatizo ni agenda zenu za kutafuta vyeo vya siasa kwa kutumia Miss Tanzania baada ya kuwa upande wa Lowassa maisha yenu yote, sasa mnadhani mkifanyia mahsindano ya Miss Tanzania kwenye Nyerere Conference mtatusahaulisha, record zipo mlivyokuwa mnamtukana Rais wa sasa kwenye uchaguzi uliopita.

- Poleni sana mambo ya mitandao hamuyajui mkajifanya kuwachafua Miss Lake Zone kwenye mitandao yaliyoakuta ndio matokeo yake kwenye maisha "TUNAVUNA TULICHOPANDA" hahahahahaha! Sasa kaeni chini mjipange tena jiulizeni mmekosea wapi? Mimi sio tatizo lenu tatizo ni nyinyi wenyewe na agenda zenu za kitoto!

le Mutuz Superbrand
 
Mipasho kama hadija kopa. Big up
 
- Ok naomba nipe maelekezo namna ya kujitetea hahahahahaa mimi sijalalamikia mlivyonishambulia lakini nikijibu ni mipasho, sawa nipe maelekezo

le Mutuz Superbrand
duuuhh kumbe ulikuja kukiwasha " Aisee haupitwi ""??!!
 
Sasa kundi lake lenyewe analotembea nalo ni la machoko lazma awe na wivu wa kike

- Sasa uliyeandika mbona kama choko zaidi au kwa sababu umeweka picha ya mzungu mzee inakufanya usiwe? hahahahahahahaa maana mtoto wa kiume kwenye mitandao na majiina ya bandia na kutukana wanaume ni tabia za kichoko au nimekosea? hahahahahahhahaha

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom