Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

Eti JK rafiki yangu my ass!! Yani wewe kila mtu rafiki yako, kama ungekuwa na utu japo chembe tu kwa JK ungemdhalilisha kiasi kile hapa JF? Au nikufukulie makaburi yako hapa pamoja na ule utapeli wako wa ajira za majuu?
 
- Hakuna point wala hoja, kwa heri!

le Mutuz Superbrand
 
Alaaa naona umekuja kubwa lao mana nilimtaja jembe sasa umetokeza ww pole sana William matako makubwa

- Ukiona hivi huna makalio, basi wewe utakua sio binadam maana wote tuna makalio au wewe huna? Sasa unakalia nini? hahahahaha sema kitu ambacho huna weka na evidence ndio utaonekana una akili, weka picha yako hapa bila makalio tuone hahahahah

le Mutuz Superbrand
 
-

Dada akili zero, muandaaji wa Miss Tanzania unagombanaje na wakala wako kwenye Public na Brand ni yako mwenyewe unadhani kuna mdhamini anayetaka kuwekeza kwenye ujinga kama huo? hahahahahahah

le Mutuz Superbrand
 
- Hakuna point wala hoja, kwa heri!

le Mutuz Superbrand
Bisha nikuthibitishie hapa utapeli wako wa ajira za majuu, ulitaka kuwaibia Watanzania hawa maskini waliojaa stress za kukosa kazi tukakukemea ukaufyata.

Pia ninao ushahidi thabiti upo hapahapa JF ukimtukana na kumdhalilisha mzee Kikwete. Bisha nikuvue nguo hapahapa.
 
Siasa na mamiss yamekujaje wewe kweli kichwa mma
 
- Umeanza haya maneno toka ninaishi USA nimerudi bongo unahangaika tu huna kazi wewe? Chadema mbona hawakupi hata ukatibu kata fala wewe! Achana na mimi huniwezi umelia sana na mimi lakini ndio kwanza ninaweka record ya uuzaji wa Vitabu Tanzania, wewe endelea na udaku udaku wenzako tunapiga kazi

le Mutuz Superbrand
 
Siasa na mamiss yamekujaje wewe kweli kichwa mma

- Dada alikua kambi ya Lowassa kamtukana sana Rais wa sasa kwenye kampeni mwaka juzi, sasa akadhani akifanyia Nyerere Conference anaweza kumfanya Rais aje, anadhani Rais huwa hasomi mitandao hahahahahaa kapiga chini!

le Mutuz Superbrand
 
Ni Mtanzania yupi wa kununuwa kitabu chako ushuzi mtupu?

Kwanza Watanzania na vitabu wapi na wapi?
 
Ni Mtanzania yupi wa kununuwa kitabu chako ushuzi mtupu?

Kwanza Watanzania na vitabu wapi na wapi?

- Siku ya kwanza nimeuza vitabu 600 sasa hivi nakaribia kufikisha 1,000 ni a record, hahahahahahahah pole sana

le Mutuz Superbrand
 
Naona ma miss wanabishana tu humu...Wengine vibonge kwelikweli
 
Naona ma miss wanabishana tu humu...Wengine vibonge kwelikweli

- Mabishano ya mamiss na wewe sio miss umeingiaje? hahahahahaa kama sio miss mbona hutumii jina lako la kweli tukujue kama ni mtoto wa kiume? hahahahaha yaani umejivua nguo mwenyewe

le Mutuz Superbrand
 
😎eti hii emoji inafanana na nan😎😎
Nauliza tuu
 
-

Dada akili zero, muandaaji wa Miss Tanzania unagombanaje na wakala wako kwenye Public na Brand ni yako mwenyewe unadhani kuna mdhamini anayetaka kuwekeza kwenye ujinga kama huo? hahahahahahah

le Mutuz Superbrand
Ki ukweli pale alichemka sana,huwezi gombana na wakala wako hadharani unawatisha wadhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…