- Waliyataka wenyewe kutupa mawe kwenye nyumba ya kioo, walikimbilia kwenye Instagram kuwadhalilisha watayarishaji wa Miss Lake Zone kwamba gari lao bovu. Na wao wamerudia makosa yale yale ya kutoa gari bovu sasa ulitaka nifanye nini niwashangilie? hahahaha dada kachemka uliona wapi Miss Tanzania imejaa Media kuliko wateja? hahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyikia kwenye ukumbi wa mikutano ya Taifa? hahahahaha uliona wapi Miss Tanzania inafanyika bila pombe? hahahahaha msitafute pa kufia tatizo ni agenda zenu za kutafuta vyeo vya siasa kwa kutumia Miss Tanzania baada ya kuwa upande wa Lowassa maisha yenu yote, sasa mnadhani mkifanyia mahsindano ya Miss Tanzania kwenye Nyerere Conference mtatusahaulisha, record zipo mlivyokuwa mnamtukana Rais wa sasa kwenye uchaguzi uliopita.
- Poleni sana mambo ya mitandao hamuyajui mkajifanya kuwachafua Miss Lake Zone kwenye mitandao yaliyoakuta ndio matokeo yake kwenye maisha "TUNAVUNA TULICHOPANDA" hahahahahaha! Sasa kaeni chini mjipange tena jiulizeni mmekosea wapi? Mimi sio tatizo lenu tatizo ni nyinyi wenyewe na agenda zenu za kitoto!
le Mutuz Superbrand