Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Anahusika kwa kuwa inspire vijana au kuwakuza yeye kwenye hiyo tasnia jamani khaaaa! Basi kila radio ni ya kusaga sasa muoneeni huruma.Na kwa taarifa tu radio ya jembe ni jembe kusaga hapo ana hisa zake na hata Rock city radio ana hisa zake pia.
Na kusaga mwenyewe alishasema radio nyingi za vijana mkono wake unahusika hapo.
.
Kituo cha radio kuwa hewani kwa mwezi sio chini ya 23 million yani hapo iko hewani tu bado gharama zingine za uendeshaji hata kama anazo pesa loh! Tv station anazo mbili na Tv kuwa hewani kwa mwezi bila magharama mengine ni 28 million..
.
Ana coconut fm, choice fm, clouds tv, clouds plus hapa karibia mia inamtoka kwa mwezi ili viwe tu hewani, haya mnasema Jembe ni jembe yake, wasafi fm na tv zake bado za arusha mtasema zake si atakuwa masikini sasa badala ya kuwa tajiri.
.
Millard Ayo akianzisha radio yake mtasema hivihivi kuwa ni ya kusaga wakati anajichanga sasa hivi ananunua vitu kwa pesa yake hamuoni Kusaga mchango wake ni kuwatengeneza vijana yeye au kuwa inspire
.
MUONEENI HURUMA HATA KIDOGO MNAMPA MIZIGO MIKUBWA SANA