jembe nimeingia

jembe nimeingia

tafakari kali

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
211
Reaction score
39
Wanajamii Tafakar kali nimeingia sasa kwa mada mbalimbali za kuvuta hisia hasa maeneo ya siasa,na jamii hapa ndo maala pake, hoja za watu wa kawaida kitaa na mitazamo yetu uswazi,hapa huta hitajika kuwa msomi kujadili mada zangu ni swala la ufahamu wa kitaa ambao hasa wengi ndiko tuliko,hoja za moto,upembuzi wa kina na tafakari kali. Hapa wanakitaa jitupeni kusema ya moyoni kutoka kitaa.
 
Hivi kuna shamba la kulima humu??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom