Jemedari awaambia Yanga msidhani mkiingiza katimu kenu kataifunga Al Ahl

Jemedari awaambia Yanga msidhani mkiingiza katimu kenu kataifunga Al Ahl

Wabongo sijui Nan katuloga

US wamesema?
WHO wamesema?
Jiwe kasema?
Kigogo kasema?
Jemedary kasema?

Hivi nyinyi huwa hamna uwezo wa kufikiria mpaka mnawapa watu wawafikirie mambo yenu
 
Adjustments.jpg
 
Simba Vs Vita.
Haki ya Mungu Simba watachezea mvua ya magoli,Vita ni noma.
Ikaisha hivi Simba 1-0 As Vita.

Simba Vs Al Ahly.
Simba watapigwa khamsa waarabu sio wa mchezo.
Ikaisha hivi Simba 1-0 Al Ahly.

Baada ya hapo sasa maneno ni haya:
"Simba ni timu kama timu zingine inaweza kucheza na ikapata ushindi"
Ahaa wakasema hata Sisi uto tuliwahi wafunga

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
KUNA TOFAUTI KATI YA SIMBA NA TIMU ZA LIGI KUU :🇹🇿

-Jemedari anasema watu wasijichanganye wakadhani simba sc 🇦🇹 inafanana na timu nyingine za Ligi Kuu ya Tanzania bara. Anasema Simba ni tofauti kabisa na timu nyingine, kwamba ubora wake uko juu zaidi.

-Waangalie wakicheza na timu kama alahly egypt🇪🇬.....unaweza kufikiria ukiingiza katimu kako hapa itakuwaje....unatakiwa kwanza ukubali, halafu kuiga sio kitu kibaya.....Unakubaliana na Jemedari?
Nimerudia kusoma hili andiko lako mara mbili, sijaona sehemu yoyote ile timu ya Yanga ikitajwa! Zaidi ya maelezo tu ya jumla jumla ya hiyo Simba kuambiwa ni tofauti na timu nyingine!!

Huna matatizo kweli binafsi na Yanga wewe? Maana nyinyi wafuasi wa Hajji Manara mna akili kama za kwake. Muda wote ni kuimba tu taarab na mipasho.

By the way, ingekua hiyo Simba ina utofauti na timu nyingine, ilikuwaje ifungwe mechi mbili mpaka sasa? Si wangekuwa wanamfunga kila wanaye kutana nae?
 
Wabongo sijui Nan katuloga

US wamesema?
WHO wamesema?
Jiwe kasema?
Kigogo kasema?
Jemedary kasema?

Hivi nyinyi huwa hamna uwezo wa kufikiria mpaka mnawapa watu wawafikirie mambo yenu
Taifa la vilaza, ndiyo maana hata Raisi wao anawajulia sana! Kwa mfano, mataifa yote dunian yanapambana na Corona na kufuata miongozo yote ya kujikinga pamoja na chanjo, huko Tz ugonjwa viongozi wameupa jina lao (changamoto ya upumuaji), hawataki kufuata miongozo ya kimataifa ya kujikinga na chanjo wanaiponda! just imagine how naive and primitive ya wabongo!
 
Back
Top Bottom