wewe unaamini Yanga wanaongoza ligi
Ahaa wakasema hata Sisi uto tuliwahi wafungaSimba Vs Vita.
Haki ya Mungu Simba watachezea mvua ya magoli,Vita ni noma.
Ikaisha hivi Simba 1-0 As Vita.
Simba Vs Al Ahly.
Simba watapigwa khamsa waarabu sio wa mchezo.
Ikaisha hivi Simba 1-0 Al Ahly.
Baada ya hapo sasa maneno ni haya:
"Simba ni timu kama timu zingine inaweza kucheza na ikapata ushindi"
Nimerudia kusoma hili andiko lako mara mbili, sijaona sehemu yoyote ile timu ya Yanga ikitajwa! Zaidi ya maelezo tu ya jumla jumla ya hiyo Simba kuambiwa ni tofauti na timu nyingine!!KUNA TOFAUTI KATI YA SIMBA NA TIMU ZA LIGI KUU :🇹🇿
-Jemedari anasema watu wasijichanganye wakadhani simba sc 🇦🇹 inafanana na timu nyingine za Ligi Kuu ya Tanzania bara. Anasema Simba ni tofauti kabisa na timu nyingine, kwamba ubora wake uko juu zaidi.
-Waangalie wakicheza na timu kama alahly egypt🇪🇬.....unaweza kufikiria ukiingiza katimu kako hapa itakuwaje....unatakiwa kwanza ukubali, halafu kuiga sio kitu kibaya.....Unakubaliana na Jemedari?
Taifa la vilaza, ndiyo maana hata Raisi wao anawajulia sana! Kwa mfano, mataifa yote dunian yanapambana na Corona na kufuata miongozo yote ya kujikinga pamoja na chanjo, huko Tz ugonjwa viongozi wameupa jina lao (changamoto ya upumuaji), hawataki kufuata miongozo ya kimataifa ya kujikinga na chanjo wanaiponda! just imagine how naive and primitive ya wabongo!Wabongo sijui Nan katuloga
US wamesema?
WHO wamesema?
Jiwe kasema?
Kigogo kasema?
Jemedary kasema?
Hivi nyinyi huwa hamna uwezo wa kufikiria mpaka mnawapa watu wawafikirie mambo yenu
Bahanuzi akiona hiki ulichopost anaweza kucheka mpaka akazimia. Hebu tuoe matokeo kamili ya hii mechi yalikuwaje? mlivuka?