Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu.

Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
 
Jemedari kuna kitu kaona,swala la Kisinda tff wamewaingiza Uto cho cha mamende.
 
Karne hii mchambuzi wa soka anawezaje kuandika hisia za kifitna badala ya kuchambua sote tujue?

Kama ameona kitu basi aseme hicho alichokiona ili tushawishike otherwise akae kimya.
Kasema hivi"nitakuja kutoa ufafanuzi jamii ya soka impe muda",hapo ni kama katoa siri kuwashtua wahusika waamke waanze kuchimba.
 
Gwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu.

Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
Labda akamroge, kama amepewa leseni yake na usajili wake umefata taratibu zote yeye jemedari ndo atamzuia kucheza? Ameona ameaibika mbele ya jamii anatafuta kichaka cha kujifichia
 
Leo watu wanashangaa Kazumari kuwa na wafuasi na kumtusi juu sasa hapo mnachoshangaa nini kama yule mzungu koko ana wafuasi na matusi yote anayotukana mpk wazee.

Hapa kila siku mnamuita Genta popoma ila ndo habari zake mnazipendaa akiwasifia sifia. Kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha, wanyooshe matopolo mpk yaombe poo.
Nyie kubalini tuu kusemwa hata kwa uongo mtulie tuu japo inauma hata akiwa amedanganya.
 
Watu kama Kazumari si wachambuzi wa mpira ila ni watoa habari zilizotokea viwanjani, mchambuzi Tz ni Ambangile, Ali kamwe, Ali mayai pia, mtu anasimulia kilichotokea uwanjani anajiita mchambuzi! WTF! Mchambuzi ongea mpira kiufundi.
 
Mimi bado nashangaa, hivi inatokeaje timu Uganda inamsajili mgonjwa kutoka Tanzania? au siku hizi kuna mechi za kucheza wagonjwa wakiwa wodini?

Utopolo wamevunja rekodi za ujinga Tanzania.
 
Mimi bado nashangaa, hivi inatokeaje timu Uganda inamsajili mgonjwa kutoka Tanzania? au siku hizi kuna mechi za kucheza wagonjwa wakiwa wodini?

Utopolo wamevunja rekodi za ujinga Tanzania.
Mnateseka wenyewe na huyo Jemedari wenu!
 
Kambole kusajiliwa Uganda ina maana dirisha la usajili bado halijafungwa?.Timu inasajili mgonjwa?..kimba fc hapa mmechambia gunzi.
 
Back
Top Bottom