Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

Jemedari: Kisinda hatoweza kucheza hata mechi moja msimu huu

Watu kama Kazumari si wachambuzi wa mpira ila ni watoa habari zilizotokea viwanjani, mchambuzi Tz ni Ambangile, Ali kamwe, Ali mayai pia, mtu anasimulia kilichotokea uwanjani anajiita mchambuzi! WTF! Mchambuzi ongea mpira kiufundi.
+Amri kiemba
 
Jemedari ndo reference ya Simba kwa sasa na anatoa maboko kila siku.
 
Back
Top Bottom