MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Karne hii mchambuzi wa soka anawezaje kuandika hisia za kifitna badala ya kuchambua sote tujue?Jemedari kuna kitu kaona,swala la Kisinda tff wamewaingiza Uto cho cha mamende.
Kasema hivi"nitakuja kutoa ufafanuzi jamii ya soka impe muda",hapo ni kama katoa siri kuwashtua wahusika waamke waanze kuchimba.Karne hii mchambuzi wa soka anawezaje kuandika hisia za kifitna badala ya kuchambua sote tujue?
Kama ameona kitu basi aseme hicho alichokiona ili tushawishike otherwise akae kimya.
Bongo kuna maajabu hata vichaa wanafuasi wengi tu.Habari zake nyingi ni chai, chakushangaza jamaa anawafuasi
Labda akamroge, kama amepewa leseni yake na usajili wake umefata taratibu zote yeye jemedari ndo atamzuia kucheza? Ameona ameaibika mbele ya jamii anatafuta kichaka cha kujifichiaGwiji la uchambuzi wa soka nchini Jemedari Mwana wa Kazumari amesema kutokana na ubobevu wake wa michezo anaamini kwa asilimia 100 kuwa mchezaji Kisinda hatocheza hata mechi moja msimu huu.
Amesema jamii impe muda atakuja kutolea ufafanuzi kauli yake hiyo.
Akili zao ninashabianaHabari zake nyingi ni chai, chakushangaza jamaa anawafuasi
Wafuasi wake wote ni makoloHabari zake nyingi ni chai, chakushangaza jamaa anawafuasi
Kwani upumbavu anaopost oscar oscar twitter na bado ana wafuasiHabari zake nyingi ni chai, chakushangaza jamaa anawafuasi
Mnateseka wenyewe na huyo Jemedari wenu!Mimi bado nashangaa, hivi inatokeaje timu Uganda inamsajili mgonjwa kutoka Tanzania? au siku hizi kuna mechi za kucheza wagonjwa wakiwa wodini?
Utopolo wamevunja rekodi za ujinga Tanzania.