Jemedari: Mpira wa Tanzania umejaa watu wajinga

Ni mawazo tu kama ya wale wanaoona kwamba Mangungu ndiyo kikwazo so acha yachukuliwe kimtazamo
 
Hawako sahih lzm utumie mbinu ya kininja kufanikisha Jambo lolote ktk .maisha ulitaka aje na Nani SAS kwenye ukumbi wa uchaguzi

Mbna ccm wenyewe wanawatumia wasanii kwa gahrama kubwa unajuwa ni kwanin ,

Ni HV mangungi Yuko sahihi [emoji817] shida iko kwa mashabiki mbumbumbu wanao dhani kuwa magungu ndio kikwazo wasipate matokeo pale kitu ambacho siyo sahih
 
Huyu jemedari atakuwa muhuni anayelipwa na wahuni wenzie pale Simba.

Mangungu tunamchukia kutokana na kitendo chake cha utapeli kuleta siasa kwenye timu.Alituletea Manzoki kupiga naye picha wakati anahitajika kucheza ili tu achaguliwe kwenye uongozi.Sasa anatuletea Manzoki wakati hachezi na hajulikani kiwango chake kwa vile tu anatuona wanachama wajinga.

Kama sio yeye,kwa nini asiseme ukweli ni upi.Yeye ndiye mwakilishi wetu,sasa kama kuna tatizo,wewe unataka tuliseme wakati hatijui huko ndani huyo mo na genge lake wanafanya maamuzi gani ya kipuuzi bila kuambiwa na mwakilishi wetu?

Kama amekwambia wewe,una bahati unaujua ukweli,sasa unathubutuje kutuita wajinga?wewe akili ungekuwa nazo ungeajiriwa na hapo ulipo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sawa wanatumia wasanii,vip output yao baada ya kupata uongozi unalizika nayo?

So kwa hiyo kama chama tawala kinafanya ujinga,so hata wengine nao wakifanya tuone sawa, si unamaanisha hivyo?
 
Jk yupi Tena Mzee.....mbona hayupo kwny system
 
Kwa hili ..... kweli inashangaza
 
Mangungu ni chambo tu ,kikubwa ni nafasi yake ,na mabadiliko wanayotaka hao wahafadhina
 
Kwamba hawapatani??
Mo hapendi mtu anae jisimamia pale simba. Ndo maana alimfanyia fitna aliekuwepo kabla ya Mangungu akajiuzulu. Ye watu wake sahihi ni kama kina Kaduguda. Mfano sidhani kama itatokea akaweza kufanya kazi na Rage
 
Hamis Kilomon na Hamis Kigwangala walipambana lakini wapi.Kila mapato ya Simba,asilimia 49 ni Mali ya familia ya Dewj.Tuliwaonya hawasikii Bi Hindu sleep well.
 
Swali linakuja ni kweli Mangungu pekee Ndio tatizo pale Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…