Jemedari na Oruma wametubu kuwa Yanga ni bora.

Jemedari na Oruma wametubu kuwa Yanga ni bora.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Muda wa kutubu !

"Unajiuliza ! Kama Azam mwenye quality hii anataabika hivi licha ya kuanza pre-season mapena, sijui zile timu zetu zinazoanza maandalizi 1/8 na usajili umejikita kwa wazawa tu itakuwaje!!! "

©️ Tigana Lukinja
Mchambuzi wa Efm Radio.

"Kwa jinsi nilivyoangalia mechi za ngao ya Jamii nimeanza kupata wasiwasi huenda Yanga wakamaliza ligi UNBEATEN tena. Kama Simba na Azam timu ambazo tunasema zinagombea Ubingwa na Yanga zinapigwa hivi kwa kuzidiwa kila kitu vipi kwa timu kama Ken gold Pamba na wengine ?! "

©️ Wilson Oruma
Mchambuzi wa Efm Radio.

"Yanga sio tu Mabingwa wa Ngao, ila WAMESTAHILI kuwa Mbaingwa. Unapocheza nao inabidi uwe umefanya homework yako vizuri sana, usijaribu jambo lolote jipya ambalo halijawahi kufanyika kwenye timu wachezaji wakalielewa vyema, kumbuka ukicheza nao ndio unapima ubora wako tena kwenye jambo ambalo limezoeleka, vinginevyo ukitia udambwi dambwi wanakuchana chana."

" Yanga ni timu iliyotimia na yenye ubora katika kila idara kuliko nyingine yoyote nchini kwa sasa, wachezaji na benchi la ufundi wana ubora mkubwa sana. Hongera GONGOWAZI timu ya Hayati Mzee SAID KAZUMARI MTIPA."

©️ Jemedari Said
 
Mpira hauko hivyo Yanga alikuwa bora misimu mitatu jiulize hakuna timu ndogo zilizomtoa jasho kupata ushindi au kufungwa!
 
Back
Top Bottom