Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika fani flani.
JKT inakwenda mikoani halafu yeye yuko media anapiga soga, unawezaje kuendesha na kusimamia klabu kwa usamjo usamjo namna hii, we mtendaji mkuu unaonekana uwanja wa dar t lakini mikoani huendi unavizia kuangalia katika tv halafu kesho unaenda kuponda waamuzi na wachezaji.
Mnapokuwa mnanyooshea wenzenu vidole mjiangalie na nyie pia, nawashauri JkT tafuteni watendaji ambao wako active na timu muda wote na sio huyo msanii, mshika mawili moja humponyoka.