Jemedari Said CEO mbabaishaji mkubwa asiejielewa

Jemedari Said CEO mbabaishaji mkubwa asiejielewa

Labda ungekuja na mkataba wake na JKT ili tuchangie kwa haki. Kinyume na hapo umeandika ushuzi mtupu
 
Oky, binafsi sioni tatizo lake... naona lzm jemedari wa redion ni tofauti na jemedari wa jkt kama CEO

Jemedari ni mtu wa kunyoosha sana Nyeusi nyeusi, Nyeupe nyeupe.

WAJINGA WAPUMBAVU NA WABABAISHAJI NI MAADUI WAKUBWA WA JEMEDARI.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jemedali Akiwa meneja wa Azam ndie aliyeiongoza Azam kuchukua Ubingwa wa ligi kuu VPL 2014-15.

1. Alisimamia nidhamu za wachezaji kikamilifu nje na ndani ya uwanja.

2. Adhabu kali kwa wachezaji wavivu watovu wa nidhamu na wazembe.

3. Kuwa kiunganishi kizuri kati ya Uongozi Benchi la Ufundi na wachezaji.

UBINGWA WA AZAM ULICHOCHEWA NA JEMEDARI.
 
Jemedari ni mtu wa kunyoosha sana Nyeusi nyeusi, Nyeupe nyeupe.

WAJINGA WAPUMBAVU NA WABABAISHAJI NI MAADUI WAKUBWA WA JEMEDARI.
Kweli ni mtu WA kunyoosha Sana lakin kuna muda anatumia WIVU CHUKI kusema club fulan ususani swala linalohusu club ya yanga
 
Back
Top Bottom