Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Tahira anapomsapoti tahira mwenzake!Jamaa anajua sana, wengi wanaomchukia Jemedari sababu huwa hawawezi kujibu hoja zake, anakugonga pabaya halafu kujitetea huwezi, wanaamua kumchukia tu!.
amepiga kwenye mshonoUkimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
Kwa hyo anachofanya maulid kitenge ndio weledi wa uandishi wa habari inatakiwa vile yanga kwa kulalamika mbona simba inaandikwa vibaya na kusemwa vibaya umesikia nani kalalamika.Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
Apeleke malalamiko yake kwa mh rais asitupigie kelele sisi, huo ni ubaguzi wake tu na chuki zake tu na wala hazitamsaidia.Sijaona kosa la jemedari hapo, kaeleza ukweli kuwa goli la champions league lina thamani mno huwezi kulinganisha na magoli yanayofungwa kwenye kombe la losers,, nashangaa mapovu yamekua mengi
Lakini kaongea ukweli ?Apeleke malalamiko yake kwa mh rais asitupigie kelele sisi, huo ni ubaguzi wake tu na chuki zake tu na wala hazitamsaidia.
Siku zote ukiwa mjinga huwezi kuujua ujinga wako, hasa pale ukipewa sapoti na wajinga wenzio!.Tahira anapomsapoti tahira mwenzake!
Hawajielewi hao.Kisa huwa anasema ukweli??
huyo jemedari ana njaa kali mno sasa mtu anayelipwa 8000 kwa siku ataongea niniUkimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
Haha haaaaaaa haaaaaaaaaaa Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga fulani hivi.huyo jemedari ana njaa kali mno sasa mtu anayelipwa 8000 kwa siku ataongea nini