Jemedari Said, kielelezo halisi cha wachambuzi wa mchongo

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
 
amepiga kwenye mshono
 
Kwa hyo anachofanya maulid kitenge ndio weledi wa uandishi wa habari inatakiwa vile yanga kwa kulalamika mbona simba inaandikwa vibaya na kusemwa vibaya umesikia nani kalalamika.
 
Sijaona kosa la jemedari hapo, kaeleza ukweli kuwa goli la champions league lina thamani mno huwezi kulinganisha na magoli yanayofungwa kwenye kombe la losers,, nashangaa mapovu yamekua mengi
Apeleke malalamiko yake kwa mh rais asitupigie kelele sisi, huo ni ubaguzi wake tu na chuki zake tu na wala hazitamsaidia.
 
Toka lini mtoa zawadi anapangiwa kiwango cha kutoa?. Ni moyo wake umemsukuma kukupa zawadi then uje eti ooh hii zawadi hainitoshi kwa sababu si hadhi yangu.

Si itakuwa uzuzu huu jamani hii itakuwa ni bongo tu
 
Ukimsikiliza anapozungumza utajua kabisa mpira wetu una safari ndefu sana ya mafanikio. Huyu ni kielelezo halisi cha watu waliopo kwenye tasnia ya habari wanavyotumia nafasi zao kwa ajili ya kupitisha ajenda zao chafu, ni either wanalipwa au kwa makusudi kabisaa wanaamua kuchafua mpira wetu.
huyo jemedari ana njaa kali mno sasa mtu anayelipwa 8000 kwa siku ataongea nini
 
Back
Top Bottom