Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa akivisema Mzee wetu Dalali kwamba kwa sababu alikuwa kiongozi basi hakupaswa kusema vile.
We Jemedari wewe, muogope mungu bro, hapo redioni wasiokujua vizuri ni hao akina Tunu, Geoffrey, mzee wa Jambia na hao waandishi wachanga kwa sababu wakati unacheza soka pale Kariakoo ya Lindi hao niliowataja hapo walikuwa wakisoma shule za msingi au wengine walikuwa vijijini huko.
Jemedari ulikuwa mchezaji mzuri Kariakoo ya Lindi lakini kama kweli wewe ni mcha mungu sema ukweli, Kariakoo ya Lindi ilikuwa haifanyi ushirikina? Sisi tunaoifahamu Kariakoo ya Lindi mbona hayo mambo tulikuwa tunayaona Simba na Yanga zilipokuwa zinakuja Lindi kucheza na Kariakoo na wewe ulikuwa ukijua wazee wa Lindi wakifanya mambo hayo? Leo unaona ajabu anayosema Mzee Dalali?
Ushasahau enzi za mkuu wa mkoa wa Lindi enzi hizo akiipigania Kariakoo hadi Abdulaziz akaja kuharibu mambo, usitake kumaliza maneno kwa kueleza kinagaubaga, Kariakoo ya lindi enzi hizo wewe ukiwa mchezaji pamoja ma Martin Mkapa na wachezaji wengine ambao sio sehem ya mjadala mbona haya ni kawaida kwa timu zetu za kusini enzi hizo, watu wanakujua vizuri tu, Leo unakosoa maneno ya mzee wa Dalali.
Timu gani hapa Tanzania hairogi? Niambie BW Mchambuzi timu gani hapa Tanzania hairogi? Unataka kunambia Medeama hajarogwa jumatano afe, ina maana hujui yanayoendelea kigamboni huko ili mghana afe?
Kweli unakaa studio unasema mambo hayo hayapo cjui yamepitwa na wakati, mbona unakuwa mshamba sana we jamaa.
We huoni uchambuzi wako umekuletea maadui wengi kuliko maswahiba, unajifanya we sio mnafiki, outspoken kumbe wapiiiiiii.
Yaani wewe kila habari unajifanya mchambuzi, kwa elimu gani uliyokuwa nayo Jemedari?
Mambo mengine acha yakupite bro, mbona mwenzako mkongwe Ibrahim Masoud Maestro ana constructive criticism ila we jamaa dah.Punguza ujuaji bro.